Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Ukilinga sana ugumba unakunyayia,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma engineer veepe1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Enhee nilikua natafuta dereva ujueKwa niaba ya Madreva ,Tumekusikia.
Kudate na mimi je?1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha basi sawa Dreva umempata atakuendesha kuanzia mwanzo mpaka ufikie kilele cha safari yako!!
Ewaa...dereva lazima aendeshe kilakitu ndomaana nimekamatia fursa atiHahaha basi sawa Dreva umempata atakuendesha kuanzia mwanzo mpaka ufikie kilele cha safari yako!!
Wabeba boksi ni muhimu ndio maana mzee wa Msoga aliwaita waje kusaidia kuendeleza home.Vigezo sina man, umeweka high standards kiasi kwamba yeyote atakaeukwaa lazima apwaye. Tutabadili katiba utawale milele.
Hili kundi muhimu sana. Ndio maana mleta uzi hawezi hata kuliwazia achilia mbali kulitaja.
Wabeba boksi ni muhimu ndio maana mzee wa Msoga aliwaita waje kusaidia kuendeleza home.Wabeba maboksi hata ‘honorable mention’ hatujapata....
Aiseee!! Hahahaaaa.
Sasa hongera kwa kuiona fursa na kuikamatia ...wewe umeona vzuri kabisaEwaa...dereva lazima aendeshe kilakitu ndomaana nimekamatia fursa ati
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli...!! Utafanya ninenepe [emoji7]Sasa hongera kwa kuiona fursa na kuikamatia ...wewe umeona vzuri kabisa
Ewaaa jiandae kua booooooooonge la mabongeee but still Hot and sexy one [emoji23]
MaharagweDuuuh ulicho kiandika kinaonyesha leo umekula chakula cha aina gani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8][emoji8]Ewaaa jiandae kua booooooooonge la mabongeee but still Hot and sexy one [emoji23]
Ndo unamaanisha?