Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanaume ambaye hachepuki,labda awe mlokole kweli,hata walokole wenyewe wanaanguka Mara moja moja sembuse mumeo huyo hata kansani huwa haendi,mwanaume bila hofu ya Mungu atachepuka tu eidha awe mwalimu,Fundi,manager au daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine tunaona,kuna mabasi fulani huwa napanda,sasa huwa naangalia madriva na makonda wanachokifanya,mfano anambeba mwanamke kutoka kitua fulani wanaenda nae wakifika kituo fulani wanamshusha na driva anashuka,driva mwingine anapanda tunaendelea na safari,Siku nyingine anashuka na mwanamke mwingine,nakuwa najiuliza wanaolewa na hawa hamna kitu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ukimpenda mtu kabla ya kujua ajira au kazi yake na ukakolea, ukija kugundua yupo kwenye hayo makundi uliyoyataja penzi linasinyaa ama?
 
Tafuta Malaika u date nae yeye hana hitilafu hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe madaktari, manager, walimu, hawachepuki nilikuwa sijui, ila kwenye fundi sijui ni fundi yupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...weraa weraaaa...simo kwenye list 😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…