Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Hizo ni aina za wanaume au kazi?
 
Cute mwanaume akiamua kuchepuka atachepuka tu hata,huyo unayemtaka wewe anaweza akaja akachepuka na house girl wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penzi la masharti sio penzi kamili. Waweza mpata mtu mwenye kazi unayoitaka lakini bado akawa navituko na vitimbi kuliko hao unaowakataa kwa vigezo vya kazi zao, nadhani mleta uzi akae atafakari zaidi kuhusu hilo
Mimi siongelei tabia ya mtu mmoja ila wengi wanaofanya hizo kazi za boda boda na madriva ndo wanaongoza kuchepuka na nadhani hii inasababishwa na kazi yao

Hapana ni tabia ya mtu cutelove. Kuna watu pia wanaamini wauguzi wanaongoza kwa uchepukaji lakini ukichunguza utakuta nurse wa kike mwenye tabia hiyo yupo hivyo tangia anasoma na wala sio mazingira ya kazi yake ndio yanayombadilisha
 
Penzi la masharti sio penzi kamili. Waweza mpata mtu mwenye kazi unayoitaka lakini bado akawa navituko na vitimbi kuliko hao unaowakataa kwa vigezo vya kazi zao, nadhani mleta uzi akae atafakari zaidi kuhusu hilo
Hakika Sesten. Na kila mmoja ana tabia yake ambayo hata awe na kazi gani haiwezi futika.

Nakazia mleta uzi akatafakari zaidi.
 
wewe unakazi/fani gani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…