Mwanaume amekutwa live ana cheat na bado haja tusi nyumbani siku ya tatu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jamaa alianza mahusiano na rafiki wa mke wake. Baada ya kuaga anasafiri, kaka wa mke aliamua kumpeleka dada yake kula nyama choma. Huko ndiyo wapenzi wapya wa siri waliamua kwenda kula nyama.

Baada ya kufumwa live akiwa kwanza Dar badala ya mkoani alikoaga anakwenda bado aliondoka na mchepuko na kumuacha mkewe pale.
 
Huyo mwanaume angerudi angeambulia vichambo bora hajarudi aanze kubembelezwa arudi
 
Pole! Kwa ulivyoandika inaonekana "subject" ni wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…