Mwanaume amekutwa live ana cheat na bado haja tusi nyumbani siku ya tatu

Yeeeeeas [emoji3059].... Mwanaume hata ukamatwe right handed hutakiwi kukubali kuwa ni wewe huko ni kuonyesha udhaifu.....


Kataa kauli za kindugai
 
Lakini hii ni dharau, unaondoka na mchepuko unamuacha mke wako bar.
Mwanamke kuanza kwenda bar hata kama na Kaka yake wakati mume wake hayupo ni dalili hapo hakuna Mwanamke
 
Dada kuwa na subiri nguo alizoendanazo za kubadilisha zikiisha atarudi nyumbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Marafiki huwa wanaharibu sana ndoa; ila kwa wanaume wanaojielewa watajitahidi kuchepuka na watu wa mbali ili asiharibu ndoa yake. Huwezi kuchoma moto nyumba uliyojenga kwa tabu, huku huna uhakika wa kujenga nyumba nyingine.
 
Sikutegemea wee ndio umeandika kichwa Cha hbr kibovu hvyo
 
Haya mambo unaaga unasafir na bado unazurula mjini hii confidence unaitoa wap sema nn lijend katisha Jasiri sanaa
 
Huyo jamaa ni boya sana.Hajafuzu kuitwa senior mchepukaji.Anachepukia sebuleni kwake?Anyang'anywe kadi ya ubaharia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…