Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

Mke wangu hua ansnishauri tu, na sio kila ushauri nitaufanyia kazi
mkeo akiwa anafanya kazi benki ushauri wake utaufanyia kazi, sahivi si unamdharau sababu anakusaidia kuuza mkaa!
 
motoni shetani atakuchoma na Gesi na duniani utateseka tu
hachomwi mtu, hateseki mtu... kuumia kutaka. Kwa sasa hakuna mwanamke anayesumbua kwa lolote na nimeanza kuijiwa na wale walioatabiriwa kwenye maandiko wakisema tutakula vyetu na kuvaa vyetu, tunakuomba Bwana wewe tuitwe tu kwa jina lako.! Mwanaume ni kichwa na atabakia kichwa milele.
 
Sauwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…