Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Mwambie ukweli tu kwamba tushindwe kuoa wanawake wa online,msaidie kubadilika
Wengine wanaoa lakiniMwambie ukweli tu kwamba tushindwe kuoa wanawake wa online,msaidie kubadilika
Ukiwa Kama mwafika unaeishi Africa ndoa ni hiariNjee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
Wa kwanza mimi najiona siolewi🤣🤣🤣Wanaume wote wangeangalia tunayoyaandika mitandaoni basi wengine tusingeolewa.
Hata Mimi naoa fiti tu kwani tunakaa online,tunakula online,tunalala online mleta maada ana marafiki wenye mitazamo kandamizi na ulafi uliokithiriWengine wanaoa lakini
Sasa itakusaidia Nini Kama alitingisha matako akiwa na miaka 20 na wewe unataka kumuoa miaka 8 mbeleMwamba ana akili sana.
Mabinti wa siku hizi ukitaka kujua mambo yake ya nyuma nenda kwenye posts za social media zake. Huko kwenye comments utakuta amechatishana na besties zake, ma ex zake nk.
Maisha simple sana siku hizi unapotaka kuoa.
Mfano mimi tu ukinikuta kwetu nafata taratibu zote za kiheshima za kiafrika zinazotakiwa 😅😅.Hata Mimi naoa fiti tu kwani tunakaa online,tunakula online,tunalala online mleta maada ana marafiki wenye mitazamo kandamizi na ulafi uliokithiri
Nilijua sheria kabisa 🤣🤣Ukiwa Kama mwafika unaeishi Africa ndoa ni hiari
Leta hizo comments tuzichakateView attachment 3626364
Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi?
Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana.
Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaongea na bro wake,na haya mambo yapo sana,ladies huenda ukasahau ulicho post lakini mitandaoni huwa haisahau,wakati mwingine mnakosa mambo fulani fulani kwenye maisha yenu kwa kutaka kupata likes za muda mchache tu.
Kuwa makini na maisha yako ya mitandaoni,kile unachoona kinafurahisha nafsi yako leo huenda kesho kikawa adui mkubwa wa maendeleo na mustakabali mzima wa maisha yako.
Ni hayo tu!
Hiyo inaitwa "INFORMED DECISION".Sasa itakusaidia Nini Kama alitingisha matako akiwa na miaka 20 na wewe unataka kumuoa miaka 8 mbele