ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Baadhi ya wanaume ni wanafki jamani🤣🤣Mfano mimi tu ukinikuta kwetu nafata taratibu zote za kiheshima za kiafrika zinazotakiwa 😅😅.
Asioe atafute wa kanisani.
Baadhi ya wanaume ni wanafki jamani🤣🤣Mfano mimi tu ukinikuta kwetu nafata taratibu zote za kiheshima za kiafrika zinazotakiwa 😅😅.
Asioe atafute wa kanisani.
Sio kweli! Kuna mtu atakupenda hivyohivyo ulivyo bila kuangalia unahusiana vipi na watu kwenye mitandao ya kijamii muhimu mkiwa wawili mnapeana amani na heshima.Wa kwanza mimi najiona siolewi🤣🤣🤣
Hamna ndoa hiari tena unajichagulia na Aina ya ndoa ukitaka bana matumizi ipo,sogea tukae ipo, ya matarumbeta ipo pia hata ya mkeka😆Nilijua sheria kabisa 🤣🤣
Kitu kidogo ndoa ndoa heh🙌
Umemaliza mkuu 🙏🙏Sio wanawake wote wanaona kuolewa kama jambo kubwa sana.
Ndoa ni mzigo wa misumari duniani kote.Njee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
Sasa afadhali hapa jf hatutambuliki,lau tungetambulika wengi wetu tungekosa wanawake au wanaume wa kujenga maishaWanaume wote wangeangalia tunayoyaandika mitandaoni basi wengine tusingeolewa.
Basi wanaume tunakufa na mengi aiseeHiyo inaitwa "INFORMED DECISION".
Inakusaidia kujua unaoa ama unaolewa na mtu type ipi.
Ni kweli kabisa Issue ni kwamba mtu anataka mtazamo wake au mawazo na hisia zake iwe ni final saySio kweli! Kuna mtu atakupenda hivyohivyo ulivyo bila kuangalia unahusiana vipi na watu kwenye mitandao ya kijamii muhimu mkiwa wawili mnapeana amani na heshima.
Tatizo si unacho post bali unachofikiri.View attachment 3626364
Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi?
Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana.
Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaongea na bro wake,na haya mambo yapo sana,ladies huenda ukasahau ulicho post lakini mitandaoni huwa haisahau,wakati mwingine mnakosa mambo fulani fulani kwenye maisha yenu kwa kutaka kupata likes za muda mchache tu.
Kuwa makini na maisha yako ya mitandaoni,kile unachoona kinafurahisha nafsi yako leo huenda kesho kikawa adui mkubwa wa maendeleo na mustakabali mzima wa maisha yako.
Ni hayo tu!
Sawa sawa 😅Hamna ndoa hiari tena unajichagulia na Aina ya ndoa ukitaka bana matumizi ipo,sogea tukae ipo, ya matarumbeta ipo pia hata ya mkeka😆
Home unafata taratibu za kanisani lakini online nyashi linatingishika😆Mfano mimi tu ukinikuta kwetu nafata taratibu zote za kiheshima za kiafrika zinazotakiwa 😅😅.
Asioe atafute wa kanisani.
Na inachoma haichekeshiNdoa ni mzigo wa misumari duniani kote.
Kabisa , kuna mdada anaposti ma pombe ila namwona huyu ni wife material kabisa, mwingine anahubiri injili naona hapa hakuna kituTatizo si unacho post bali unachofikiri.
Ni muhinu kwa mtu kuoa mtu ambaye wataendana, kuepusha mihogiro kwenye ndoa.
Sasa kwa msingi huo, ni muhimu kila mtu apost anavhotaka, anachoona.
Mwanaharakati anayependa mwanaharakati wa upinzani akimuona mwanaharakati mwenzake, atavutiwa, wataendana.
Mtu anayetaka mke mwenye maneno ya mipasho, atampata anayemtafuta.
Sasa mwanamke hajui uanaharakati, anajua mipashi, ajigiche kwa kutaka kuolewa tu? Akiokewa halafu akianza maneno ya mioasho kwwnye ndoa, kwa mune anayependa mwanaharakati asiyependa mipasho, si ndiyo ndoa inaishia kwenye yalaka ya haraka hapo?
Hakuna sababu ya mwanamke kujificha ukweli wa alivyo kwa kuhofia hataolewa, kwa sababu kwenye ndoa atakuja kujulikana tu.
Tuache maisha ya kua act sinema tuishi maisha ya uhalisi zaidi.
VyoteNjee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
Tena wakinikuta huku Mzee hataamini 😅Home unafata taratibu za kanisani lakini online nyashi linatingishika😆
Anajifanya hajui wanaume wengine wanachojali ni wowo mneso tu, wengine sura tu, wengine mtindi tu, wengine urefu tu, wengine akili tu, wengine vyote au kadhaa kati ya hivyo.Wanaume wote wangeangalia tunayoyaandika mitandaoni basi wengine tusingeolewa.
Exactly.Kabisa , kuna mdada anaposti ma pombe ila namwona huyu ni wife material kabisa, mwingine anahubiri injili naona hapa hakuna kitu