britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ukiona binti anashinda sana mtandaoni simaanishi Twitter na Jamiiforums namaanisha Instagram, Facebook, Telegram, Snapchat, BADOO, Tinder , Tagged ! Kimbia kama ukoma
Na mungu alivyo waajabu utaolewa na mtu ambaye ni anti-social na atalipa mahali nyingi tu....Tena wakinikuta huku Mzee hataamini 😅
Anajua atapokea Mali nyingi sana
Yaani apart from hapa lakini maisha ya mitandaoni ni vitu viwili tofauti kabisaaa, kuna watu mitandaoni ni wema sana lakini kwenye uhalisia wa maisha walikuwa wameshaharibu.Sasa afadhali hapa jf hatutambuliki,lau tungetambulika wengi wetu tungekosa wanawake au wanaume wa kujenga maisha
Nilitaka nishangae,Uzi uende bila kutajwa singo Maza😁Yaani apart from hapa lakini maisha ya mitandaoni ni vitu viwili tofauti kabisaaa, kuna watu mitandaoni ni wema sana lakini kwenye uhalisia wa maisha walikuwa wameshaharibu.
Nime experience mambo mengi mnoo. Post za mitandaoni hasa ya wazungu na huu mtandao wa JF ni tofauti sana. Mitandao ya Wazungu inatunza kumbukumbu lakini huu mtandao kidogo una tofauti.
Wengi humu ni maisha mazuri lakini uhalisia tuna struggle sana hasa vijana wa kiume vile vile warembo wa humu nje ya JF ni Single mothers wengi tu.
Mbona kama Twitter, wanapondwa sana kuwa ni wasimbe, na ni hatariUkiona binti anashinda sana mtandaoni simaanishi Twitter na Jamiiforums namaanisha Instagram, Facebook, Telegram, Snapchat, BADOO, Tinder , Tagged ! Kimbia kama ukoma
Twitter ya 2025 nayo imeanza kuwa Jau!Mbona kama Twitter, wanapondwa sana kuwa ni wasimbe, na ni hatari
Ni sheria 😁 olewa mtoto mzuri tule pilauNjee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
😅 pale ni shida , utaona watu wanauza dagaa na asali kumbe sio dagaa na asali unazofikiri weweTwitter ya 2025 nayo imeanza kuwa Jau!
Ila ya huko nyuma fire 🔥
Haha dah we itakuwa nakujua uko saiko ya Bepari la Kihaya😅 pale ni shida , utaona watu wanauza dagaa na asali kumbe sio dagaa na asali unazofikiri wewe
Ukikimbia kama ukoma utaichapaje sasa ?Ukiona binti anashinda sana mtandaoni simaanishi Twitter na Jamiiforums namaanisha Instagram, Facebook, Telegram, Snapchat, BADOO, Tinder , Tagged ! Kimbia kama ukoma
SitakiiiiiiNi sheria 😁 olewa mtoto mzuri tule pilau
Uchoyo tuSitakiiiiii
😆😆Haha dah we itakuwa nakujua uko saiko ya Bepari la Kihaya
😅 napenda Avatar yakoUchoyo tu
Sheria HiyariNjee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
Naona ndoa inakuzwa sanaSheria Hiyari
Kwa sababu Africa wanawake kiujumla huwa hawana mambo muhimu sana ya kwao kibinafsi kufanya nje ndoa.Naona ndoa inakuzwa sana