Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

View attachment 3626364

Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi?

Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana.

Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaongea na bro wake,na haya mambo yapo sana,ladies huenda ukasahau ulicho post lakini mitandaoni huwa haisahau,wakati mwingine mnakosa mambo fulani fulani kwenye maisha yenu kwa kutaka kupata  likes za muda mchache tu.

Kuwa makini na maisha yako ya mitandaoni,kile unachoona kinafurahisha nafsi yako leo huenda kesho kikawa adui mkubwa wa maendeleo na mustakabali mzima wa maisha yako.

Ni hayo tu!
Mfano sikiliza huyu

View: https://www.youtube.com/watch?v=P_nvkrUORWQ
 
Yaani apart from hapa lakini maisha ya mitandaoni ni vitu viwili tofauti kabisaaa, kuna watu mitandaoni ni wema sana lakini kwenye uhalisia wa maisha walikuwa wameshaharibu.

Nime experience mambo mengi mnoo. Post za mitandaoni hasa ya wazungu na huu mtandao wa JF ni tofauti sana. Mitandao ya Wazungu inatunza kumbukumbu lakini huu mtandao kidogo una tofauti.

Wengi humu ni maisha mazuri lakini uhalisia tuna struggle sana hasa vijana wa kiume vile vile warembo wa humu nje ya JF ni Single mothers wengi tu.
Kwan kua single mother ni Dhambi sana? Wengi humu tumelelewa na Hao single mother ila mtandaon Hao Akina mama zetu ni wabaya shame
 
Nimezungumzia vijana wa kike na wa kiume na jinsi uhalisia wa mambo ulivyo ukiachana na jinsi watu wanavyo behave humu. Nawajua wengi tu na wengine wameshatutapeli na inawezekana wakabadili I'd na wakaendelea kuwepo humu

Binafsi hata mimi nimelelewa na Mama tu. Simbezi wala kumdharau mwanmke wa aina yoyote hapa duniani.

Kumbuka Tajiri wa Amazon Jeff Bezos alitelekezwa na Baba yake akiwa na Mama yake. Lakini leo hii Jeff ameshakuwa Tajiri namba moja duniani na sasa hivi ni namba 3. Naheshimu mwanamke anayelea mtoto wake akiwa ana imani na kiumbe chake.

Usininukuu vibaya Mkuu nakwede97
 
Sasa kama USA embasy, wanaomba social media handles ili wakukague mawazo na michango yako kabla ya kukupa VISA uingie nchini mwao.

Kwann mwanaume usikague post za mke wako mtarajiwa?
 
View attachment 3626364

Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi?

Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana.

Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaongea na bro wake,na haya mambo yapo sana,ladies huenda ukasahau ulicho post lakini mitandaoni huwa haisahau,wakati mwingine mnakosa mambo fulani fulani kwenye maisha yenu kwa kutaka kupata  likes za muda mchache tu.

Kuwa makini na maisha yako ya mitandaoni,kile unachoona kinafurahisha nafsi yako leo huenda kesho kikawa adui mkubwa wa maendeleo na mustakabali mzima wa maisha yako.

Ni hayo tu!
sasa wewe demu anapost mitakoz mipajaza na mititi nje nje ukaoe sii ufala huo. hao ni wakuenjoy nao tuu.
 
View attachment 3626364

Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi?

Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana.

Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaongea na bro wake,na haya mambo yapo sana,ladies huenda ukasahau ulicho post lakini mitandaoni huwa haisahau,wakati mwingine mnakosa mambo fulani fulani kwenye maisha yenu kwa kutaka kupata  likes za muda mchache tu.

Kuwa makini na maisha yako ya mitandaoni,kile unachoona kinafurahisha nafsi yako leo huenda kesho kikawa adui mkubwa wa maendeleo na mustakabali mzima wa maisha yako.

Ni hayo tu!
Mwenyezi Mungu aturehemu! Tunahitaji hekima ya kuingia na kutoka kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom