Kwani mimi ni kenge, mpaka nitoke damu...😅Labda sio wewe!!!
Weeee si hushauriki huambiliki!Kwani mimi ni kenge, mpaka nitoke damu...😅
kwa kweli kuna wakati ukiwa na namba za simuza watu ukakutana na status anazopost unaweza usimuelewe kabisa huyo ni mtu wa aina gani ?View attachment 3626364
Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi?
Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana.
Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaongea na bro wake,na haya mambo yapo sana,ladies huenda ukasahau ulicho post lakini mitandaoni huwa haisahau,wakati mwingine mnakosa mambo fulani fulani kwenye maisha yenu kwa kutaka kupata likes za muda mchache tu.
Kuwa makini na maisha yako ya mitandaoni,kile unachoona kinafurahisha nafsi yako leo huenda kesho kikawa adui mkubwa wa maendeleo na mustakabali mzima wa maisha yako.
Ni hayo tu!
Id yako ya zamani ni ipi ?Katika maisha yako ya ndoa make sure una picha au video ya mke wako akiwa uchi utakuja kunishukuru baadae......
.......adui ndo rafiki wa baadae na rafiki ndo adui wa badae......
ShariaNjee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
Kaiweka nani hiyo sharia?Sharia
Nadhani unanijua vizuri, mimi comments au post za mtu, hata huaga sihangaiki nazo...😉Weeee si hushauriki huambiliki!
ila wanachokagua Us embassy ni mambo yao ya ugaidi sijui na usalama wa nchi yao. hawajali kama mtu anajihusisha na mambo mengine mengine.Sasa kama USA embasy, wanaomba social media handles ili wakukague mawazo na michango yako kabla ya kukupa VISA uingie nchini mwao.
Kwann mwanaume usikague post za mke wako mtarajiwa?
Ausio!!!! Wee mpaka likukute jambo!!Nadhani unanijua vizuri, mimi comments au post za mtu, hata huaga sihangaiki nazo...😉
Litakufa jitu au siyo...Ausio!!!! Wee mpaka likukute jambo!!
Am waiting kwahamuuLitakufa jitu au siyo...
Ukija nitakufundisha kitu...
Ufuate maelekezo, siyo unajiamulia...Am waiting kwahamuu
Inategemea na maelekezo😊😊😄 love!!Ufuate maelekezo, siyo unajiamulia...
Hiari, siyo Afrika tu bali dunia yote.Njee ya mada :
hivi ndoa Africa ni hiari au sheria?
Shukran maana naona ndoa inazungumziwa kama kitu cha lazimaHiari, siyo Afrika tu bali dunia yote.
Hata mimiMtu akishakuwa anajipost post sijui namuonaje tu
Hapo sasa unazungumzia harusi.Hamna ndoa hiari tena unajichagulia na Aina ya ndoa ukitaka bana matumizi ipo,sogea tukae ipo, ya matarumbeta ipo pia hata ya mkeka😆