Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu?Itategemea na hali utakayokuwa nayo
Unaweza ukahisi ni mahaba tuKivipi mkuu?
Kwa ulichokieleza hapo ikitokea amenifuta nitakuwa makini na hicho kitambaa. Ila kinga ni bora kuliko tibaUnaweza ukahisi ni mahaba tu
Hawa wa humu ni expertsMkuu mbona umeamua kuwafundisha uchawi dada zetu was hapa JF?
Kwahiyo Yesu ndio bwana uliyeamua kutulia naye hadi siku utakayofunga naye ndoa.Cha msingi ni kutulia na wake zenu. Kama hujaoa, jizuie hadi utakapofunga ndoa yako.
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Kwahiyo unadhani ukiwa kwenye ndoa ndio umemalizana na uzinzi au sio.Wale wakataa ndoa wanavyopenda kuendekeza uzinzi mbinu hii itawadumbukiza kwenye ndoa hali yakuwa ni mazombi
Nimecheka sana... sema nn mkuu housing inaweza kuvutia lakini kusiwe na maajabu ndani...Kinachovutia watu wanunue simu y; housing inachangia
Naona unazidi kuwamegea dada zetu maujuzi.. safi saaana.Wewe ni mgeni wa mahaba. Kule Kampala wanaweka taulo kwenye maji Moto, mkimaliza mechi lile taulo linakamuliwa likiwa la Moto halafu unapanguswa nalo. Raha yake sio ya dunia hii.
Usimuache Aishi😁😁Cc: Date20210317 ...umesema biblia imesemaje kuhusu mwanamke mchawi?
Hii nahisi kweli japo naendelea kuichunguza, kuna mwanamke tangu niwe naye siwezi tongoza mwanamke mwingine nikafanikiwa kumchakata mbususu yani lazima kuwe na kizuizi kama sio yupo period basi itatokea maluweluwe sitamla, Naweza enda na manzi geto nikamchezea ila nikitaka kuweka inanywea akisepa imaamka najichua basi inaisha, nilimchukua baamedi majuzi kufika chumbani nikalala mazima hadi kesho akasepaDunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu.
Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile.
Baada ya kufikia mshindo, atachukua kitambaa kile alichokuja nacho na ataanza kukufuta, huku wewe ukihisi ni sehemu ya mahaba.
Baada ya kuagana, atachukua kitambaa hicho na kukipeleka kwa wananzengo, na baada ya hapo wewe unakuwa unamsikiliza yeye tu, na mkizinguana anaweza kusababisha mashine yako isisimame au isiweze ku-perform mechi za nje.
Lakini yote haya yanatokea, hasa pale upande mmoja utakapopenda zaidi kuliko upande mwingine.
Muhimu ni kuwa makini na uliyenaye.
AlishakuwahiHii nahisi kweli japo naendelea kuichunguza, kuna mwanamke tangu niwe naye siwezi tongoza mwanamke mwingine nikafanikiwa kumchakata mbususu yani lazima kuwe na kizuizi kama sio yupo period basi itatokea maluweluwe sitamla, Naweza enda na manzi geto nikamchezea ila nikitaka kuweka inanywea akisepa imaamka najichua basi inaisha, nilimchukua baamedi majuzi kufika chumbani nikalala mazima hadi kesho akasepa
Ni miezi mitatu sasa hali hii inanikumba
Pole sana kijana, vp huyo mwanamke n mke wako?Hii nahisi kweli japo naendelea kuichunguza, kuna mwanamke tangu niwe naye siwezi tongoza mwanamke mwingine nikafanikiwa kumchakata mbususu yani lazima kuwe na kizuizi kama sio yupo period basi itatokea maluweluwe sitamla, Naweza enda na manzi geto nikamchezea ila nikitaka kuweka inanywea akisepa imaamka najichua basi inaisha, nilimchukua baamedi majuzi kufika chumbani nikalala mazima hadi kesho akasepa
Ni miezi mitatu sasa hali hii inanikumba