Mwanaume anavyotekwa kwa nguvu za mahaba na giza

Mwanaume anavyotekwa kwa nguvu za mahaba na giza

Duh! Ni kubaya sana huko inaonesha. Huku mkongo, kule waganga, na hizi mambo zilitakiwa kuwa burudani. Kweli Tanzania imelaaniwa.
 
Masikini 💔💔💔ndio maana mnakufa haraka.mnamengi mnayoyapitia.poleni
 
Fafanua mkuu. Unaposema "kwa asili" unamaanisha nini. Hatuwezi kwa nguvu ama ujanja wetu. Ndio maana tunamhitaji Mungu.

Jesus is Christ!
Kufanikiwa hili, unatakiwa kwanza uwe na upungufu wa nguvu za kiume ili kupunguza ile hali ya kutamani tamani
 
Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu.

Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile.

Baada ya kufikia mshindo, atachukua kitambaa kile alichokuja nacho na ataanza kukufuta, huku wewe ukihisi ni sehemu ya mahaba.

Baada ya kuagana, atachukua kitambaa hicho na kukipeleka kwa wananzengo, na baada ya hapo wewe unakuwa unamsikiliza yeye tu, na mkizinguana anaweza kusababisha mashine yako isisimame au isiweze ku-perform mechi za nje.

Lakini yote haya yanatokea, hasa pale upande mmoja utakapopenda zaidi kuliko upande mwingine.

Muhimu ni kuwa makini na uliyenaye.​
Duhhh!! Huu utamaduni hata Cuba wanasubili.. si kuuana huku
 
Kuna fala alinifanyia hivyo akishirikiana na mama yake , wakakuta siingiliki kiboya.
 
Back
Top Bottom