Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Duh! Ni kubaya sana huko inaonesha. Huku mkongo, kule waganga, na hizi mambo zilitakiwa kuwa burudani. Kweli Tanzania imelaaniwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakutana nao tuHawa wanapatikana wapi, nataka kulogwa nitulize moyo- kumwagilia moyo kunasababisha nafsi isistawi nataka kulogwa nitekwe nipotee mazima
Sijui uko bia ya ngapi sasahiviHawa wanapatikana wapi, nataka kulogwa nitulize moyo- kumwagilia moyo kunasababisha nafsi isistawi nataka kulogwa nitekwe nipotee mazima
Kufanikiwa hili, unatakiwa kwanza uwe na upungufu wa nguvu za kiume ili kupunguza ile hali ya kutamani tamaniFafanua mkuu. Unaposema "kwa asili" unamaanisha nini. Hatuwezi kwa nguvu ama ujanja wetu. Ndio maana tunamhitaji Mungu.
Jesus is Christ!
Migogoro ya ndani ya ndoa huwa ina vyanzo vingi sanaDuh! Ni kubaya sana huko inaonesha. Huku mkongo, kule waganga, na hizi mambo zilitakiwa kuwa burudani. Kweli Tanzania imelaaniwa.
Duhhh!! Huu utamaduni hata Cuba wanasubili.. si kuuana hukuDunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu.
Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile.
Baada ya kufikia mshindo, atachukua kitambaa kile alichokuja nacho na ataanza kukufuta, huku wewe ukihisi ni sehemu ya mahaba.
Baada ya kuagana, atachukua kitambaa hicho na kukipeleka kwa wananzengo, na baada ya hapo wewe unakuwa unamsikiliza yeye tu, na mkizinguana anaweza kusababisha mashine yako isisimame au isiweze ku-perform mechi za nje.
Lakini yote haya yanatokea, hasa pale upande mmoja utakapopenda zaidi kuliko upande mwingine.
Muhimu ni kuwa makini na uliyenaye.
Wanasema dunia ni tambala bovu au uwanja wa vitaMasikini 💔💔💔ndio maana mnakufa haraka.mnamengi mnayoyapitia.poleni
Ok sawasawaMwanaume ameumbwa kutamani, atakuwa mtulivu mwanzoni, akianza kupata vijisenti anaanza kutafuta shepu anayoitaka
ha ha haDuhhh!! Huu utamaduni hata Cuba wanasubili.. si kuuana huku
Tatizo wanakuwa hawana hurumaDunia uwanja wa funjo,, acha tuvurugane.
Mkuu mbona inawezekana after all ladha si ile ile tu..!Kutulia ni muhimu; ila kwa asili ya mwanaume ni vigumu kutulia sehemu moja
Kinachovutia watu wanunue simu y; housing inachangiaMkuu mbona inawezekana after all ladha si ile ile tu..!
Mkuu sio kila mtu wakulogwa asilmia 60 ya wanaume waliopo kwnye ndoa wamelogwa dawa zikiisha ndoa chaliWale wakataa ndoa wanavyopenda kuendekeza uzinzi mbinu hii itawadumbukiza kwenye ndoa hali yakuwa ni mazombi
ha ha haWale wakataa ndoa wanavyopenda kuendekeza uzinzi mbinu hii itawadumbukiza kwenye ndoa hali yakuwa ni mazombi
Kujikita kwenye maombezikweli mkuu ila umefungua wadada kazi kwenu