Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Nia yako ni njema kwa sababu makosa uliyafanya huko nyuma na umeona ubaya wake. Huwa nawaambia watu hakuna dhambi salama, dhambi yeyote ukiitenda l iko siku itakuumiza.

Kwa kuwa katika jamii wapo wanaume wenye uwezo wa sex lakini hawana uwezo wa kuzaa na wamekuwa wakibambikiwa watoto au kuwaruhusu wqke zao watafute watoto kisirisiri nje ya ndoa basi wanaume wa aina hiyo wanafaa kuchangamkia hii offer ambayo haina ubaya wowote.

Kila la heri dada umpate ambaye mtaendana lakini watoto wakikua au mkikosana huko mbeleni mvumiliane.
 
Okey nakuja
 
Mimi Nina 55, mtoto mmoja, single father lakini nazaa Ila sihitaji mtoto. Umri wangu vipi?
 
Aisee
 
Kwanini usikubali mume mwenye mtoto lakini sasa hawezi kuzalisha au hataki kuzaa? Huyu mtadumu. Tena hapa utawapata wengi kwa haraka.

Ukitaka hasiye zalisha na hana mtoto kuna element za ubinafsi (selfish). Haupo tayari kulea au kuwapenda watoto wa mtu mwingine wakati unataka wapendwe wako na mtu mwingine.
 
hapa ungepata anaye zaa ili muunge familia vyema kwa maana mtakuwa na mtoto anaye waunganisha

alafu mtu huyu usimpate kwa kutangaza hivi, mtafute huko ulipo asifahamu dhamira yako waziwazi atakutesa

bora umtege kwa njia zote ila sio kumpata toka humu akijua kabisa dhamira yako ni ipi
 
Aisee hatari sana, kweli mwanamke inafika point lazima ahitaji mume.

Ana mkwanja, ana watoto lakini anakosa mume tu.

Ndoa ni muhimu kwa ke kuliko ilivyi kwa Me.
 
Na bado mpaka akiri zitawarudi!

Maandiko yanasema:

Isaya 4:1 "na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako...."
...Usihukumu usije ukahukumiwa.
Hakuna binadamu aliyekamilika, kila mtu(hata wewe) ana mapungufu yake.

rosita Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Usikatishwe tamaa na kelele za humu.
 
Hitaji gumu sana hili- pole kwa upweke na kukosa Mwanaume ndani ya nyumba ....haya maisha ni ngumu sana kuplay roles zote za Baba na Mama lazima kuna mahali patapwaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…