cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Huu unabii mnaubadilishaNa siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
isaya 4:1
Ulikuwa hauhusu wanawake Bali makanisa. Kwamba siku za mwisho makanisa yataibuka mengi kila moja likitaka liitwe kwa jina la Yesu lakini likiwa na Mafundisho ambayo sio ya Yesu. Yani ki kubwa litajwe tu kwa jina la Yesu.
Maipotoshe tafsiri