cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Haha why usijaribu na mleta madaMm niko serious bhana, ili kuthibitisha hili inabidi tujaribu Mm na ww 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha why usijaribu na mleta madaMm niko serious bhana, ili kuthibitisha hili inabidi tujaribu Mm na ww 😎
Ngoja nmchek bcHaha why usijaribu na mleta mada
😂😂😂alaf uniite niwasindikizeeNgoja nmchek bc
HahahahNakuja hili nalo linishinde
Nakazia hapaaa..hio shughuli atupe gen z na kigezo cha mwanaume asieweza kupata mtoto akitoeAsa kwa hao ulioweka umri wao kama kigezo kikuu wataweza kweli kusugua?
Labda kama unahitaji baba tuuh ila kama ni mizagamuano kwa kwenda mbele tafuta Gen Z wako vizuri kuliko ao wazee unaowawazia.
Lakini ni ushauri tuuh kila la kheri mkuu.
Sasa majaribio kama naweza kuzalisha c yanaanza kitandani jaman 😎😂😂😂alaf uniite niwasindikizee
Kila la kheri. I can imagine what you are going through. Kuwe na mwanga katika hitaji lako.Habari
Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.
Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.
Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).
Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.
Ahsante
Akufikirie angalau usiwe baba wa mapaka tena 🤣Ningekuwa mkristo ningefaa sana hapa
Ndiyo maana yake 😅😅😅Ngoma imefikia pale kwenye "mume yoyote cha msingi awe anapumua tu "
Vipimo vya drSasa majaribio kama naweza kuzalisha c yanaanza kitandani jaman 😎
Mafeminist wakizidiwa ndo matokeo yake haya😄😄Habari
Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.
Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.
Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).
Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.
Ahsante
Yani hataki watoto wa zaidi, ni papuchi tu ichakatwe mpake itoe harufu kama tairi inayoungua.Duuh!bandiko linatuacha na maswali mengi anyway
Kwa haraka haraka mama unachotaka kwa sasa ni kusuguliwa tuuh si ndio!?
ChaiHabari
Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.
Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.
Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).
Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.
Ahsante
Tutakupa hy taarifa hapa kwenye comment 😂Vipimo vya dr
Nilizan utahitaj shahd kwa upande wako nikusindikizeeTutakupa hy taarifa hapa kwenye comment 😂
Naogopa utakuja kunitangaza humuNilizan utahitaj shahd kwa upande wako nikusindikizee