Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Kama watoto washazaliwa tena watatu hao wanamjua baba yao/zao hata wakibadilishwa majina hawawezi badili uhalisia.
Ila kuwa makini sana matapeli wengi.
 
Kwa sisi wakurya tunaoa mke akiwa hata na watt ,hawana shida kabisa Mana binadamu wote ni WA adamu. Uko tayari uwe mke wa pili nachonga na mke wangu hana shida kabisa.
 
Baba yangu mdogo akaongeze mke wa Tano akamuoa ana watoto akatoa mahari Yule jamaa mme wake wa zamani akarudishiwa mahari yake.
Kuna baba yangu ana wake sita wanapendanaje na wanapikia pamoja kabisa ,yaani wanafurahi pamoja hata kukiwa na function Fulani wanashirikiana
 
Aisee Mahanithi (Bunga ya Boru,Nyuki wa mashineni) mumefikiwa.

Kweli Mungu huwapa wote kwa kadiri ya Vile apendavyo
 
Kwa hiyo ni kusema sahihi angesema anataka mwanaume mwenye familia ambaye kwa sababu zisizojulikana mama watoto wake alipo (kama yeye haijulikani baba watoto wake alipo) muhimu awe hana uhitaji wa mtoto tena.

Though wapo wanaume walioa wakakosa watoto na ikajulikana ndiyo wenye matatizo anaweza akawabahatisha.

Hiyo hoja ya kwanza ingekuwa ni sahihi kabisa. Apate mwenye uwezo wa kuzaa ili asiwepo wa kumnyanyasa mwenzake

Ni Kweli wapo wanaume kama hao, ila inawezekana mtoa mada ametoa maamuzi ya hasira akihisi hawa wenye uwezo wa kuzaa watamsumbua,

Japo ajue kuwa hata hao wasio na uwezo wa kuzaa ni binadamu na wana mapungufu vile vile, Sasa likitokea la kutokea ndio hapo maamuzi yanaweza kuwa ya kustaabisha Kwa huyo asie na uwezo wa kuzaa.
 
How is that a win win situation? Labda sijaelewa, yeye mwanaume anapata nini? Clearly, wewe utapata mume na huduma, watoto wako watapata father figure katika maisha yao na gharama za matunzo kwakuwa huyo mwanaime directly au indirectly atalipa hela. Yeye atagain nini?
 
Ni libinafsi sana linaonekana. Yatakuwa ni yaleyale mwanamke mafeminist
 
Tafuta biblia usome, usipende kudanganywa
Biblia imeandika wanawake saba na sio makanisa saba.

Kipindi cha isaya (agano la kale) hakuna kitu kinachoitwa kanisa
biblia ninayo na nnasoma kila siku,,, mwanamke kwenye biblia ni kanisa

Biblia inaposema bibi harusi hua inamaanisha kanisa pia,

Thank you,,, kifupi biblia ni msitu mnene.
 
How is that a win win situation? Labda sijaelewa, yeye mwanaume anapata nini? Clearly, wewe utapata mume na huduma, watoto wako watapata father figure katika maisha yao na gharama za matunzo kwakuwa huyo mwanaime directly au indirectly atalipa hela. Yeye atagain nini?
Hizi hat trick amepiga azizi Ki mwenyewe au amekoroga na kina max, na mzize. Hao wajamaa kila mmoja akija kusalimia watoto wake huyu new husband si atakufa pressure 😅😂. Hii situation yake ngumu sana, Mungu amsaidie tu.
 
Wa 3 alafu Kila mtoto na baba yake? Nijibu ili nikija nije na dozi za presha
 
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

isaya 4:1

Naam, ilitabiriwa hvo mkuu.
 
Back
Top Bottom