Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Nia yako ni njema kwa sababu makosa uliyafanya huko nyuma na umeona ubaya wake. Huwa nawaambia watu hakuna dhambi salama, dhambi yeyote ukiitenda l iko siku itakuumiza.

Kwa kuwa katika jamii wapo wanaume wenye uwezo wa sex lakini hawana uwezo wa kuzaa na wamekuwa wakibambikiwa watoto au kuwaruhusu wqke zao watafute watoto kisirisiri nje ya ndoa basi wanaume wa aina hiyo wanafaa kuchangamkia hii offer ambayo haina ubaya wowote.

Kila la heri dada umpate ambaye mtaendana lakini watoto wakikua au mkikosana huko mbeleni mvumiliane.
Thanks, that is why maturity na hofu ya Mungu ndio key na pia sitakuwa na haraka before kujiridhisha pasina shaka kuwa huyu mwenzq atakuwa sahihi kwangu na mimi sahihi kwake...Kwa uwezo wa Mungu inawezekana
 
Watoto wote ni wa baba mmoja au kila toto na babaake?
 
Asa kwa hao ulioweka umri wao kama kigezo kikuu wataweza kweli kusugua?
Lab

da kama unahitaji baba tuuh ila kama ni mizagamuano kwa kwenda mbele tafuta Gen Z wako vizuri kuliko ao wazee unaowawazia.
Lakini ni ushauri tuuh kila la kheri mkuu.
Thanks, I am no longer interested in https://jamii.app/JFUserGuide but love making ,complete and happy family....Age is just a number
 
Mimi Nina 55, mtoto mmoja, single father lakini nazaa Ila sihitaji mtoto. Umri wangu vipi?
Umri sio ishu but sitokuwa fair kwako as utahitaji kuongeza mtoto na sitakuwa na uwezo wa kukupatia...
 
Kwanini usikubali mume mwenye mtoto lakini sasa hawezi kuzalisha au hataki kuzaa? Huyu mtadumu. Tena hapa utawapata wengi kwa haraka.

Ukitaka hasiye zalisha na hana mtoto kuna element za ubinafsi (selfish). Haupo tayari kulea au kuwapenda watoto wa mtu mwingine wakati unataka wapendwe wako na mtu mwingine.
I am open for both but yupo mtu ambaye hilo ni hitaji lake, anahitaji upendo wa watoto na heshima.
 
Biological baba wakwaapi na vip wakija kudai watoto wao
Acha upumbavu/ujinga Kwamba baba wa watoto a/wa-mekufa au ulibakwa ndio ukapata hao watoto mapacha watatu au wamekataliwa na baba zao. Huwezi ukamilikisha damu ya mtu kwa watu wengine ovyoovyo tu hata kama baba yao amekufa. Maana hata ukisema baba zao wamewakataa itakua ni ajabu watoto watatu wote kukataliwa labda kama ni mapacha.

Furaha unayoitafuta ya mume utaipata lakini watoto hawawezi kupata furaha halisi ya baba yao mzazi kutoka kwa mtu asiye baba halisi, kamwe! itakua ni ya muda tu, zaidi utawaongezea matatizo.

Shida ikowapi ukipata mwenye uwezo wa kuzalisha mkaongeza watoto, na hujasema labda upande wako pia huwezi kuzaa tena.
Ahsante kwa kucomment.
 
Ahsante kwa tahadhari, najua wapo wengi, nitakuwa makini kuwachuja, nahitaji ninayemlenga ajue this post is not for child support au nimeshindwa kulea, tunahitaji upendo kama ambavyo yeye anahitaji upendo
Tatizo umeweka vigezo vya kibaguzi sana kuhusu sifa!

Awe rijali aliyeshindwa kupata watoto na asizidi miaka 45!

Kuna wanaume wapo juu ya umri huo wamezaa na wanahitajio la kweli la mwanamke aina yako, sasa umewabagua.
 
Tatizo umeweka vigezo vya kibaguzi sana kuhusu sifa!

Awe rijali aliyeshindwa kupata watoto na asizidi miaka 45!

Kuna wanaume wapo juu ya umri huo wamezaa na wanahitajio la kweli la mwanamke aina yako, sasa umewabagua.
Noted, Ahsante
 
Back
Top Bottom