Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Heh jaman,,umenifungua aseeee asante,,huo mstari sijawahi uelewa kwa tafsiri hii❀️
Yeah we SDA church members hiyo ni yo tafsiri tuliyo nayo kulingana na unabii wa siku za mwisho tunaousoma Kwenye biblia na vitabu vya roho ya unabii.
Mwanamke kibibilia na kiunabii inamaanisha kanisa.
Katika ufunuo biblia inasema joka akamkasirikia Yule mwanamke afanye Vita juu yake.... Hapa pia lilikuwa linazungumziwa kanisa
 
πŸ™πŸΎ Thank you madam
 
Watoto wanatumia ubini gani kwa Sasa?

Je mwanaume utayempata mkikosana huko mbeleni, ubini wake utaendelea kuwa wa hao watoto?

Na je Baba wa hao watoto yuko wapi?
Nilitaka kuuliza swali kama hili ila umeniwahi tu.
Maana wanawake ni vigeugeu siku mkigombana tu matusi yanaanza.
Nani aliyekwambia hawa ni watoto wako?Tangu lini wewe ukawa na uwezo wa kuzalisha?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kama kweli ni muhitaji,watakuja PM,Mungu akupe sawasawa na hitaji lakoπŸ™
 
Una uhakika atawapenda??wanaume hawa weusi hawa Utakuta wamewabaka na kuwafanyia vitendo vya ajabu
ni kutafuta kwa tochi
 
We mbaga ww si juzi tu umeeleza ulikuwa na single maza Ila bahat hukumpa mimba?????
Sasa c ndo sina uwezo wa kumpa mtu mimba ndo mana nkashindwa kumpa mimba huyo singo maza 😎
 
Wewe ndiye unaubadilisha unabii. Ama umeamua kuchagua namna ya kuutafsiri unabii huo kwa manufaa yako mwenyewe au kikundi chenu.

Nabii Isaya alikuwa akiwaandikia watu wa Yuda na Yerusalem, akiwaonya juu ya dhambi na maasi yao. Akiwaonya kuwa Mungu atawaadhibu kwa dhambi zao wenyewe. Anzia Isaya 3 na kuendelea.

Adhabu kwa muktadha wa andiko hilo ni vita. Na wapiganao vita kwa wakati ule ni wanaume. Kumaanisha kuwa, wanaume wa Yuda na Yerusalem watapungua na hivyo kutokea uhaba wa wanaume.

Ndipo wanawake, kwa taabu na matokeo ya hukumu watahitaji wanaume wa kuitwa kwa jina lao. Huku wakijihudumia kwa kila kitu.

Isaya yeye alizungumzia zaidi juu ya maonyo kwa watu wa Israel. Na ujio wa Masihi.
 
Kwa hiyo ni kusema sahihi angesema anataka mwanaume mwenye familia ambaye kwa sababu zisizojulikana mama watoto wake alipo (kama yeye haijulikani baba watoto wake alipo) muhimu awe hana uhitaji wa mtoto tena.

Though wapo wanaume walioa wakakosa watoto na ikajulikana ndiyo wenye matatizo anaweza akawabahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…