Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Wanawake bwana, utadhani anamuonea huruma mwanaume ila ukweli ni ubinafsi wa kutaka mume ila asiwe na watoto wakate yeye anao na hataki kumzalia watoto
 
Asnte ubarikiwe
 
Tafuta biblia usome, usipende kudanganywa
Biblia imeandika wanawake saba na sio makanisa saba.

Kipindi cha isaya (agano la kale) hakuna kitu kinachoitwa kanisa
Unaelewa maana ya unabii?
Ukielewa hapo utapata logic
 
Kwanini uweke vipengele? Yaani Wewe umezaa halafu unataka asiezaa ili umnyanyapae.
 
Ngoja niende nikafanyiwe vasectomy Kisha nirudi nitume application yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…