my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Uyo kiumbe mwache km alivyo majuzi kuna pesa laki 2 mzigo wngu uliletwa hme nikaagiza io pesa apewe mtu X ntaikuta kwake kilichonikuta kakata 30000Tatizo la dada zetu ndio ilo wameelekezea matumaini yakutokea kimaisha kwa wanaume badala ya kuona watokaje wenyewe, yani mkiambiwa ata mshare bill tu wamesha kudisqualify nchi za wenzetu ni mambo ya 50/50 vingine ni huruma tu.
Yani kweli mitazamo iko tafauti mwanaume akiwa anasubiri deal moja apige au fursa ya kutokea wenzetu wanasubiri atokezee mtu amtoe kimaisha.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Ajabu usikute wewe ndio gundu lenyewe, ukiachana na mtoto wa watu mambo yake yanamuendea....ficha upumbavu wako