Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.

Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa stress watu wanamshauri amuache hataki. Mwanamme mwenywe sijui ana gundu kila anachofanya kinafail na hasara juu.

Sasa mwanamme kama huyu wa nini jaman kujitia stress tu ufe kabla siku si zako. Mwisho na wewe akutie gundu tu hata kuonekana usionekane. Angalieni na wanaume wa kuwa nao unateseka nini na gundu la mtu si bora umwachie mbali akacheze na wenye gundu wezake huko.

Mwanamme maendeleo
Kila mtu ana namna yake ya kutafsir maendelea, mwingine kula, kuvaa akapendwa kwa dhati kwake ni maendeleo Tayar, wewe endelea kuwaza hivyo utadanga mpaka iote kutu
 
Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.

Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa stress watu wanamshauri amuache hataki. Mwanamme mwenywe sijui ana gundu kila anachofanya kinafail na hasara juu.

Sasa mwanamme kama huyu wa nini jaman kujitia stress tu ufe kabla siku si zako. Mwisho na wewe akutie gundu tu hata kuonekana usionekane. Angalieni na wanaume wa kuwa nao unateseka nini na gundu la mtu si bora umwachie mbali akacheze na wenye gundu wezake huko.

Mwanamme maendeleo
Kwann usimshauri yeye apambane kwa upande wake kisha amsaidie huyo jamaa kusimama. Sababu sio kila mtu ana uwezo wa kujinyanyua toka chini mwenyewe bila msaada.
 
Tatizo la dada zetu ndio ilo wameelekezea matumaini yakutokea kimaisha kwa wanaume badala ya kuona watokaje wenyewe, yani mkiambiwa ata mshare bill tu wamesha kudisqualify nchi za wenzetu ni mambo ya 50/50 vingine ni huruma tu.

Yani kweli mitazamo iko tafauti mwanaume akiwa anasubiri deal moja apige au fursa ya kutokea wenzetu wanasubiri atokezee mtu amtoe kimaisha.
Ushauona ule uzi uloshushwa wakitukanwa wanawake wafanya kazi wanaojitegemea na wapenda maendeleo wanaume wakashoboka sana kuwa wanataka wasichana walio kwa wazazi wao wawategemee 100% wakati mwengine sielewi nyie viumbe mnataka nn!Leo linasemwa hili kesho jingine!
 
Nadhani haujaelewa tofauti zake. Core values za Mwanamke ambazo kila mwanaume anazitafuta ni kwanza mwanamke submissive, msikivu, mpenda haki, mcha MUNGU, mvumilivu, mtunza siri za mumewe hata wakikorofishana, muelewa na mtoa ushirikiano pale mwanaume anapohitaji msaada wake.

Kama una hivi vigezo, na unakosa mwanaume wa maisha yako njoo hapa kwangu nitakupa wanaume 1000 uchague yupi aliyekuvutia halafu nitasimamia kila kitu hadi muwe wachumba then muendelee huko kwa wazazi hadi ndoa wenyewe.
 
Nadhani haujaelewa tofauti zake. Core values za Mwanamke ambazo kila mwanaume anazitafuta ni kwanza mwanamke submissive, msikivu, mpenda haki, mcha MUNGU, mvumilivu, mtunza siri za mumewe hata wakikorofishana, muelewa na mtoa ushirikiano pale mwanaume anapohitaji msaada wake.

Kama una hivi vigezo, na unakosa mwanaume wa maisha yako njoo hapa kwangu nitakupa wanaume 1000 uchague yupi aliyekuvutia halafu nitasimamia kila kitu hadi muwe wachumba then muendelee huko kwa wazazi hadi ndoa wenyewe

Mwanamke kuwa vyote hivo lkn still hamtaki challenges yaani mnataka hata mkimwambia kitu ambacho anaona si sawa akubali tu? Unajua vitu vingine sio submissive unakuwa ulimbukeni.

Huyo mwanamke unaemtaka wewe utampata iwapo anakutegemea ww kwa kila kitu?lakini kama tunajishirikisha wote kusukuma gurudumu la maisha lazima mwanamke awe na sauti na pande zote kuwe na usikivu!

I am sorry to say that.

Sijakosa mwanaume my dear i am taken already 😉
 
Trust me we hata ukiwa mchonga vinyago unaweza kuwa na 100% ya kumuoa binti wa kizungu tena ambaye kwao ni matajiri wa kutisha.
Ila ukija huku kwetu kama huna kazi ya kuajiriwa serikalini au ofisi kubwa ni ngumu sana kuaminika hata kwa wazee!

Watoto wa kike wamelelewa katika mazingira ambayo kama mwanaume akiwa hana hela za kufuru basi huyo hafai!
Wazee lazima waulize, huyo mwenza wako anafanya kazi gani??
 
Wewe kama umetoboa mshukuru Mungu ufocus kwenye maisha yako achana na maisha ya watu as long as huwezi kuwasaidia chochote
 
Back
Top Bottom