Wewe hayo maendeleo unayo!au ndo akili yako imejawa mawazo kwamba lazima uhudumiwe kila kitu na mwanaume hadi pumzi!stuka madame tafuta na wewe maendeleo yako ndipo uje kifua mbele kumsema mwanaume hana maendeleo.
Wewe ndo unaefanya tuonekane kila mwanamke anategemea pesa za mwanaume [emoji817]mwisho wa siku tunaishia kumegwa na kuachwa.
Hakuna kiumbe kigumu kusamehe aiseh kama mwanaume rafiki yangu.jitahidi kama jamaa yako hali yake ya kiuchumi si nzuri,msapoti ikishindikana mwache kimyakimya ateseke kivyake..kuliko kumtamkia maneno mabaya..maneno yanaishi ndani ya mtu na yanaumiza mno.
Jitahidi kuwa mbegu njema kwa mtu yeyote maana ukipandacho leo..ni lazima ukivune,I tell you iwe ni baya au zuri.
Nikukumbushe tu we dada..hakuna maumivu yanayotesa kama ya kuumizwa au kunyanyasika kama huna kitu[emoji17][emoji17]hiyo hali ni mbaya mno.so kama mwamba unahisi hana maendeleo fukara kapuku,asie na thamani mbele yako kama mwanamke tafadhali mwache aende usiwe sehemu ya kumuumiza.
Close the door gently,you might return.[emoji1635]