Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

Kama mbali na mwanamke ambaye ameshawahi kuolewa kwa namna yoyote
Kaa mbali na mwanamke mwenye mtoto hata kama mtoto amekufa
Kaa mbali na mwanamke ambaye kwao ni fukara kupitiliza
Kaa mbali na mwanamke ana mipango kuliko mipango mwenyewe
Kaa mbali na mwanamke aliyeachwa na mwanaume mwenzako hata akikuambia kuwa mwanaume yule alikuwa hivi alikuwa vile
Kaa mbali na mwanamke ambaye ...
 
...Rejea hiyo Sentensi yako: 'Kila anachofanyaaya'!...kumbe angalau anahangaika kujikwamua na no bahati mbaya tu kwamba hajajaliwa!
Mimi nilidhani amekaa tu hats hajishughulishi, kumbe no basis tu kwamba 'kila anachofanya...??
 
Kitu ambacho girls hawelewi na wanajidanganya ni kuwa tegemezi, kwann usijisimamie utafute vya kwako, je wewe kama wewe unatumia juhudi gani kujikwamua, au ndo unatangaza biashara na kuhimiza wanawake wenzio wawafuate wenye maisha yao tayari, remember huyo mwenye maisha tayari kuna mwanamke nyuma yake wameanza wote kutengeneza hicho unachokiona na kukujaza mate, utaishia kutumika tu.

Hakuna mwanaume mwenye maendeleo anaependa mwanamke mvivu na asiejituma
 
Wanawake waki Africa mifumo dume imewaadhiri Sana Yani wao wanategea mwanaume tuwatoe kwenye umasikini, ndiyo maana ukiona mwanamke analalamika maisha magum ukimuuliza kwanini una maisha magum utamsikia ana sema hana mume, au kaachwa na mwanaume.
 
 
Wanawake waki Africa mifumo dume imewaadhiri Sana Yani wao wanategea mwanaume tuwatoe kwenye umasikini, ndiyo maana ukiona mwanamke analalamika maisha magum ukimuuliza kwanini una maisha magum utamsikia ana sema hana mume, au kaachwa na mwanaume.
Hahahah anakwambia mie nimeachwa na mtoto nalea mwenyewe kila kitu maisha magumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Hahahah anakwambia mie nimeachwa na mtoto nalea mwenyewe kila kitu maisha magumu [emoji23][emoji23][emoji23]!
Kwasisi vijana inabid tuziache fikra zakizaman tuwalee watoto wetu wakike wajue kujitegemea na kujiamin wao wenyewe bila kumtegemea mwanaume kiuchumi tukifanya hivyo wata kuwa huru kiuchumi na ki Afya.
 
Kwasisi vijana inabid tuziache fikra zakizaman tuwalee watoto wetu wakike wajue kujitegemea na kujiamin wao wenyewe bila kumtegemea mwanaume kiuchumi tukifanya hivyo wata kuwa huru kiuchumi na ki Afya.
Yeah hili ni muhimu sana, mie nataka binti yangu nimlee kwa upendo sana kiasi kwamba nitamfundisha mambo ya maisha on her early ages!

Hata akipevuka then atakuwa ana recall yale ambayo tulizungumzaga...Asije akawa na mambo ya ajabu katika ku handle mahusiano kwa tamaa za kijinga jinga maana vizuri vyote ntajitahidi nimpatie avizoee mapema.
 
Mleta uzi, ukimpata wako pambana nae mpate maendeleo, sasa utawaacha wangapi?
 
Ma bint Wakizungu wapo vizur Sanaa Wana jiamin sana
 
Ma bint Wakizungu wapo vizur Sanaa Wana jiamin sana
Trust me we hata ukiwa mchonga vinyago unaweza kuwa na 100% ya kumuoa binti wa kizungu tena ambaye kwao ni matajiri wa kutisha.
Ila ukija huku kwetu kama huna kazi ya kuajiriwa serikalini au ofisi kubwa ni ngumu sana kuaminika hata kwa wazee!

Watoto wa kike wamelelewa katika mazingira ambayo kama mwanaume akiwa hana hela za kufuru basi huyo hafai!
 
Wee mwenzio kashagegedwa na wanaume wengine kaona wanamchafua tuu. Huyu atakuwa anapiga show show mpaka mbususu inalia yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…