Na huu ndio ukweli kabisa. Mwanamke yeye ni kukupa mbususu tuu.Hao waliofanikiwa walipitia msoto km huyo jamaa ndiyo maana huwa ni ngumu sana kumuona mwanaume aliyefanikiwa kiuchumi akababaika na mwanamke.
Mm huwa naamini mwanamke anapenda pesa zangu tu. Tofauti na papuchi hana kitu cha kunipa
Alafu atakuambia kua yeye ndiyo Baba na yeye ndiyo Mama!! Hii kauli inanishangaza sana! Mtu anawezaje kua baba na wakati huohuo akawa yeye ndiyo Mama pia!?Hahahah anakwambia mie nimeachwa na mtoto nalea mwenyewe kila kitu maisha magumu [emoji23][emoji23][emoji23]!
......Kaishawai kufanyiwa unyanyasaji wa kingono.Kama mbali na mwanamke ambaye ameshawahi kuolewa kwa namna yoyote
Kaa mbali na mwanamke mwenye mtoto hata kama mtoto amekufa
Kaa mbali na mwanamke ambaye kwao ni fukara kupitiliza
Kaa mbali na mwanamke ana mipango kuliko mipango mwenyewe
Kaa mbali na mwanamke aliyeachwa na mwanaume mwenzako hata akikuambia kuwa mwanaume yule alikuwa hivi alikuwa vile
Kaa mbali na mwanamke ambaye ...
Kioja cha mwaka hikiAlafu atakuambia kua yeye ndiyo Baba na yeye ndiyo Mama!! Hii kauli inanishangaza sana! Mtu anawezaje kua baba na wakati huohuo akawa yeye ndiyo Mama pia!?
Asikusumbue akili mkuu!Hiz pesa zilipotupeleka sijui aisee
Ameona wapi mwanaume anakua gundu kwa mtoto wa kike wakati mwanaume ndio chanzo cha kipato katika familia, kaletewa gundu yeye ndo anatafuta? Usikute hata maana ya gundu haijui huyu....na wanawake wa hivi ukikaa nao hata mapepo huwa hawakosi yaniUmenena vema sana mkuu hawajijui aisee
Hongera zako wewe uliyezaliwa kishua na unayeijua kesho yakoMimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.
Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa stress watu wanamshauri amuache hataki. Mwanamme mwenywe sijui ana gundu kila anachofanya knafail na hasara juu.
Sasa mwanamme kama huyu wa nini jaman kujitia stress tu ufe kabla siku si zako. Mwisho na wewe akutie gundu tu hata kuonekana usionekane. Angalieni na wanaume wa kuwa nao unateseka nini na gundu la mtu si bora umwachie mbali akacheze na wnye gundu wezake huko.
Mwanamme maendeleo
Well SaidWewe hayo maendeleo unayo!au ndo akili yako imejawa mawazo kwamba lazima uhudumiwe kila kitu na mwanaume hadi pumzi!stuka madame tafuta na wewe maendeleo yako ndipo uje kifua mbele kumsema mwanaume hana maendeleo.
Wewe ndo unaefanya tuonekane kila mwanamke anategemea pesa za mwanaume 💯mwisho wa siku tunaishia kumegwa na kuachwa.
Hakuna kiumbe kigumu kusamehe aiseh kama mwanaume rafiki yangu.jitahidi kama jamaa yako hali yake ya kiuchumi si nzuri,msapoti ikishindikana mwache kimyakimya ateseke kivyake..kuliko kumtamkia maneno mabaya..maneno yanaishi ndani ya mtu na yanaumiza mno.
Jitahidi kuwa mbegu njema kwa mtu yeyote maana ukipandacho leo..ni lazima ukivune,I tell you iwe ni baya au zuri.
Nikukumbushe tu we dada..hakuna maumivu yanayotesa kama ya kuumizwa au kunyanyasika kama huna kitu😔😔hiyo hali ni mbaya mno.so kama mwamba unahisi hana maendeleo fukara kapuku,asie na thamani mbele yako kama mwanamke tafadhali mwache aende usiwe sehemu ya kumuumiza.
Close the door gently,you might return.🥂
Wewe hayo maendeleo unayo!au ndo akili yako imejawa mawazo kwamba lazima uhudumiwe kila kitu na mwanaume hadi pumzi!stuka madame tafuta na wewe maendeleo yako ndipo uje kifua mbele kumsema mwanaume hana maendeleo.
Wewe ndo unaefanya tuonekane kila mwanamke anategemea pesa za mwanaume [emoji817]mwisho wa siku tunaishia kumegwa na kuachwa.
Hakuna kiumbe kigumu kusamehe aiseh kama mwanaume rafiki yangu.jitahidi kama jamaa yako hali yake ya kiuchumi si nzuri,msapoti ikishindikana mwache kimyakimya ateseke kivyake..kuliko kumtamkia maneno mabaya..maneno yanaishi ndani ya mtu na yanaumiza mno.
Jitahidi kuwa mbegu njema kwa mtu yeyote maana ukipandacho leo..ni lazima ukivune,I tell you iwe ni baya au zuri.
Nikukumbushe tu we dada..hakuna maumivu yanayotesa kama ya kuumizwa au kunyanyasika kama huna kitu[emoji17][emoji17]hiyo hali ni mbaya mno.so kama mwamba unahisi hana maendeleo fukara kapuku,asie na thamani mbele yako kama mwanamke tafadhali mwache aende usiwe sehemu ya kumuumiza.
Close the door gently,you might return.[emoji1635]
huna chingine cha ku offer kwenye mahusiano zaidi ya papuchi ,Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.
Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa stress watu wanamshauri amuache hataki. Mwanamme mwenywe sijui ana gundu kila anachofanya knafail na hasara juu.
Sasa mwanamme kama huyu wa nini jaman kujitia stress tu ufe kabla siku si zako. Mwisho na wewe akutie gundu tu hata kuonekana usionekane. Angalieni na wanaume wa kuwa nao unateseka nini na gundu la mtu si bora umwachie mbali akacheze na wnye gundu wezake huko.
Mwanamme maendeleo
Unafanya kazi gan Dada?? Una kitu kingine cha kufanya kukupa kipato?? Au ni papuchi tu??.Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.
Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa stress watu wanamshauri amuache hataki. Mwanamme mwenywe sijui ana gundu kila anachofanya knafail na hasara juu.
Sasa mwanamme kama huyu wa nini jaman kujitia stress tu ufe kabla siku si zako. Mwisho na wewe akutie gundu tu hata kuonekana usionekane. Angalieni na wanaume wa kuwa nao unateseka nini na gundu la mtu si bora umwachie mbali akacheze na wnye gundu wezake huko.
Mwanamme maendeleo
Maendeleo yaletwe na nyinyi wapenzi kwa pamoja. Unayoshangaa ndiyo mapenzi ya kweli yanayomfanya dada abakie na mpenzi wake ije raha au taabu. Wewe kipenzi chako ni mali ya huyo mwanaume na siyo kwamba unampenda yeye binafsi na ndiyo maana akiishiwa, mapenzi yako kwake yanaisha pia.Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.