Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

Kila mtu ana namna yake ya kutafsir maendelea, mwingine kula, kuvaa akapendwa kwa dhati kwake ni maendeleo Tayar, wewe endelea kuwaza hivyo utadanga mpaka iote kutu
 
Kwann usimshauri yeye apambane kwa upande wake kisha amsaidie huyo jamaa kusimama. Sababu sio kila mtu ana uwezo wa kujinyanyua toka chini mwenyewe bila msaada.
 
Ushauona ule uzi uloshushwa wakitukanwa wanawake wafanya kazi wanaojitegemea na wapenda maendeleo wanaume wakashoboka sana kuwa wanataka wasichana walio kwa wazazi wao wawategemee 100% wakati mwengine sielewi nyie viumbe mnataka nn!Leo linasemwa hili kesho jingine!
 
Nadhani haujaelewa tofauti zake. Core values za Mwanamke ambazo kila mwanaume anazitafuta ni kwanza mwanamke submissive, msikivu, mpenda haki, mcha MUNGU, mvumilivu, mtunza siri za mumewe hata wakikorofishana, muelewa na mtoa ushirikiano pale mwanaume anapohitaji msaada wake.

Kama una hivi vigezo, na unakosa mwanaume wa maisha yako njoo hapa kwangu nitakupa wanaume 1000 uchague yupi aliyekuvutia halafu nitasimamia kila kitu hadi muwe wachumba then muendelee huko kwa wazazi hadi ndoa wenyewe.
 

Mwanamke kuwa vyote hivo lkn still hamtaki challenges yaani mnataka hata mkimwambia kitu ambacho anaona si sawa akubali tu? Unajua vitu vingine sio submissive unakuwa ulimbukeni.

Huyo mwanamke unaemtaka wewe utampata iwapo anakutegemea ww kwa kila kitu?lakini kama tunajishirikisha wote kusukuma gurudumu la maisha lazima mwanamke awe na sauti na pande zote kuwe na usikivu!

I am sorry to say that.

Sijakosa mwanaume my dear i am taken already 😉
 
Wazee lazima waulize, huyo mwenza wako anafanya kazi gani??
 
Wewe kama umetoboa mshukuru Mungu ufocus kwenye maisha yako achana na maisha ya watu as long as huwezi kuwasaidia chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…