Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

Huyo ni changu msamehe
 
Wwe huyo Mwanaume aliyekuchukua atakua kala hasara,mpe pole sana!!
 
Ndo maana wanaume wanakufa mapema wanavumilia na kutunza vingi moyoni toka kwa sisi wanawake.Japo nanyi wanaume mkishafanikiwa mnaanza kutudharau wanawake tuliowavumilia.No formula aisee
 
Ndivyo akili zao walivyozielekeza mkuu,yaani wanajihisi hawawajibiki kwa lolote ktk maisha yao ya mahusiano,yeye anaona haki yake ni kukutanisha vikojoleo tu na mwenzake ila maendeleo yoyote si suala lake,ni la mwenzake,hiki ndicho kinachotofautisha baadhi wanawake wengi wa kibongo na wa nchi zinazojitambua,masikini hata akili yake imekaa kiutegemezi tegemezi tu
 
Malizia ww !!!
 
Apa ndio huwa nabak nikikuoneshea nilipolelewa huwez amin very poor hous3 choo chq kushare
 
Wanawake wanaojiona warembo,sehemu zao za siri ndo zinazoumia. Umeolewa kisa pesa, kesho umefumaniwa na kuachwa, midume inechezea sarakasi kifuani mwako,mwishoe unamtafuta hata jambazi humuoni, unaishia kujitia vidole. Waache na gundu zao dada.
 
Af, ni raha iliyoje,kuyaona majitu kama nyie, mimba umetiwa na mtu asiye hata na 100, af kutoka imegoma. Lohhhh! Mmezoea vibaya, kuhongwa tena ndo hakupo,mmejipeleka msikohitajika, mnaachiwa buku ya mchicha, kichwa karibu kipasuke,mnaanza mada za ajabu ajabu. Unadai maisha mazuri. Mchango wako wewe ni upi?
 
Kwanza, kabla ya kumlaumu huyo mwanaume jaribu kujiuliza unamchango gani katika maisha yake wewe?

Pili, je ulishawahi kumpushi katika harakati zake za kupambana na umasikini kama ambavyo anakulisha na kukuvalisha na kuhakikisha unapata sehemu ya kulala?

Tatu, mbali na kumiliki mbunye una nini hasa cha maana cha kumsaidia huyo mwanaume ili ajikwamue? Una kiwanja? Una nyumba? Una gari? Pikipiki je? Je unamiliki hata biashara yoyote inayokuingizia kipato? Au kazi yako ni kumtegea hilo tundu tu?

Tatu, Kwanini wanawake wa mjini mna tabia za ajabu hivyo? unakuta mwanamke ana mbunye na jicho tu lakini anamdharau mwanaume anayemlisha na kumvalisha. Kwa nini lakini?
 
Ukimkuta mwanaume ana gari, nyumba na ana pesa alaf anakwambia yupo singo kaa mbal nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…