Nipoo, jana na leo
Ufungwe kabla hatuja muopoa mtoto wewe ukiwa kama nani bwashee?Uzi ufungwe
π π π me awe anakunywa ndo safiiiiiiFemales hamueleweki, akiwa hanywi ishu, akinywa ishu mnataka nn π
Wee mwenyewe shoga unajifanya mwanamke kumbe *****,Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
HakikaPia sio rahisi kukutana nae mwanaume wa hivyo yaani ni ngumu mwanume asiyetumia bangi ,pombe n.k akaangukia katika mikono ya mwanamke wa sampuli Kama yako
Umepatia π―% mkuu...π€£π€£Sema tu Leo haujisikii vizuri classmate
π π π Sawa mkuu wa ***** gangWee mwenyewe shoga unajifanya mwanamke kumbe *****,
DuuhMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kwa age yako pombe sio nzuri sanaWengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.
Nimekunywa Champagne nikiwa Champagne, Scotch nikiwa Scotland na Tequila nikiwa Tequila.
Sio tu nilikuwa nakunywa pombe, nilikuwa nafanya mpaka utalii wa kunywa pombe.
Sasa nimepumzika.
Alcohol free since January 1 2024.
Ebu fanya njoo inbox, mimi napiga visungura nakuwa bwiii masaa yote! Nadhani nitakuvutia sana nimekupenda mrembo mwaaaaah.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kama unapenda beer mwezi wa kumi Ujerumani, hususan Munich, kuna Octoberfest, sherehe za kusherehekea beer, vyakula na utamaduni wa Wajerumani.Sikua najua Tequila ni mji...nifundishe utalii wa kunywa pombe
Pombe siyo nzuri sana kwa age yoyote. Basi tulikuwa tunafanya ubishi tu.Kwa age yako pombe sio nzuri sana
Dhambi mambo ya dini, mimi siamini dini.Kunywa pombe dhambi...
Pombe ina madhara mengi kuliko faida zakoDhambi mambo ya dini, mimi siamini dini.
Faida zangu?Pombe ina madhara mengi kuliko faida zako