Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Wanakuwaga wambea kinoma, na wanalwatetea kua wanakua vitombi ni uongo tu, ni makolo fulani kama makuku ya kisasa na yanaendesha sana mbunye na hutumia gharama kubwa mnoo kula mbunye za baamedi ambazo mdau anakula kwa offer ya bia mbili.
Sasa hapo amemtukana nani??? Yeye ameongea kile anaona punguza munkariUnajisikiaje mwanaume kumtukana mwanaume mwenzako Tena ukijiona wewe ni Bora mbele ya mwanamke, kama unataka huyo principle gal nendeni pm huko sio kuja kubwabwaja hapa
You are such a SIMP
Umejibu vizuri kabisaaa mkuuSipendi pombe, sigara wala bhangi
Ila hizo mbususu sasaπ€£ππ
Anyways wewe bado ni mtoto, hakuna mtu mzima 27 plus anaweza akawa na fantasy kama hizo
Nimeona sababu kwanini huwa mnaonekana hamna akiliSasa hapo amemtukana nani??? Yeye ameongea kile a naona punguza munkari
Nakazia kimwili apoKutokana na hizo tabia ulizotaja kuna namna una athirika labda KIUCHUMI,KIAKILI AMA KIMWILI?
Kwaiyo Leo umeamua uje kunisema kabisa unadhamiria nnπMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Rubbish, shule mnafungua lini?Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Na wewe mkuu mpira hufatiliiivyote alivotaja sijawai kuwa na kilevi nacho, mimi mwenyew mpaka sasa najiuliza kilevi changu ni nini? nilijarib kufatilia mpira lakn nikaona kama unanisumbua tu akili
SawaNimeona sababu kwanini huwa mnaonekana hamna akili
Jumatatu babuRubbish, shule mnafungua lini?
πKwaiyo Leo umeamua uje kunisema kabisa unadhamiria nnπ
Highly knowledgeable man lazima ataona ni utoto huu lakini mwanaume mijinga ndo utaona kama sifaaa kuwa na sifa kuwa na hizo tabiaRubbish, shule mnafungua lini?
hua naangalia lakin unakuta sijui ratiba vizur mapaka nistuliwe tena mechi iwe simba labda au yanga ... mfano mechi ya leo ya Simba nimeshangaa kuja kuona FT kwa milladayoNa wewe mkuu mpira hufatiliii
Me siwezi kuangalia kabisaaahua naangalia lakin unakuta sijui ratiba vizur mapaka nistuliwe tena mechi iwe simba labda au yanga ... mfano mechi ya leo ya Simba nimeshangaa kuja kuona FT kwa milladayo
π π π bila shaka hutumii kilevi chochoteHighly knowledgeable man lazima ataona ni utoto huu lakini mwanaume mijinga ndo utaona kama sifaaa kuwa na sifa kuwa na hizo tabia
Siitumii kilevi chochote but am a highly vibrated person with full of confidence na hakuna kitu kinanibabaisha(ukiwemo papuchi zenu)π π π bila shaka hutumii kilevi chochote
Good for youSiitumii kilevi chochote but am a highly vibrated person with full of confidence na hakuna kitu kinanibabaisha(ukiwemo papuchi zenu)