Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
PoaGood for you
😁Mi stumii kilevi chochote ila ukinitunukia hautojuta yaani MASTER KOBE cha mtoto
NonsenseVIPI BABA AKO MZAZI ANAVUTA BANGI AU SHISHA AU ANAKUNYWA KOMONI MAANA CHARITY BEGINS AT HOME KAMA HAFANY AYO ITAKUW WEWE MTOTO WA HARAMU UNA BABA MWINGINE AMBAYE ANAKUNYWA WANZUKI AMBAYE NDO MKAMILIFU KWA AKILI ZAKO.
KabisaaaaaNgono ni starehe ya watu masikini
Kiukweli kwa experience yangu wanaotumia vilevi wamewazidiIla tunajua kulomba vizuri.
😅 😅 😅Sisi tunaoishi maisha ya kiroho tumezishinda tamaa,tamaa ni kwa ajili yenu nyie mnaoishi maisha ya nje ya show off ili mkamilike
Haulazimishwi baki ulipoYan et nianze kulewa au kufanya mambo ambayo sio interest yangu kisa tu mwanamke??
No way aisee
SikupingiKumekua na ongezeko kubwa la midume inayotumia ID za kike ili post zao zipate engagement kubwa haswa wakipost upuuzi upuuzi kama huu
Ukiona hawakuchangamkii ujue wewe ndiyo tatizoMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Hata sijakuelewa sijui ulitaka kumaanisha niniUkiona hawakuchangamkii ujue wewe ndiyo tatizo
Mi ni mlevi wa kujamiiana, yaani huwa napiga miti kama nimetumwa na kijiji.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Tupo wachache sana...
Huo safiUlevi wa kubeti vp mamaa, au we ni rastaman tu na chapombe?