Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Lazima akwambie hivyo, ni fumbo, haiwezekani wewe ukawa unaakti kiasi hicho!! Unapika, unadeki, unafagia, unafua nk hapo ni kwamba unalazimisha ndoa.
 
Hahaaa hapa hamna muoaji kimbiaa[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Ningenyanyua majeshi yangu sahiyo hiyo na kumdelete kwanzia mda huo
Ukuni utakua haujakukolea vizuri. Mlivyo ving'ang'anizi hivyo hiyo sio sababu kabisa ya kunyanyua majeshi. Tena kama wewe ndo ungemjibu "Ndo ufanye mpango sasa unioe"

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Ha haa atajua na ukuni wake sahiyo sina habari
 
Siku hiyo inatakiwa iwe simu ya mwisho ya kutoa hizo huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…