Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Ila Papuchi si kasha kulaNingenyanyua majeshi yangu sahiyo hiyo na kumdelete kwanzia mda huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Papuchi si kasha kulaNingenyanyua majeshi yangu sahiyo hiyo na kumdelete kwanzia mda huo
Lazima akwambie hivyo, ni fumbo, haiwezekani wewe ukawa unaakti kiasi hicho!! Unapika, unadeki, unafagia, unafua nk hapo ni kwamba unalazimisha ndoa.Msichana Unatoka Kwenu Unaenda Kwa Jamaa Mnafanya Yenu Mnamaliza Unaanza Kufua,Unaosha Vyombo, Unafagia Na Kudeki Ndani ,Unapika Mnakula Baada Ya Kumaliza Jamaa Anakwambia Mwanaume Atakaekuoa Atapata Raha Sana
Hivi utamjibu ni nini huyo Mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Stunter hujuwahi kumpa haka ka offer jamani?[emoji1][emoji1][emoji1]Uwiiii nimecheka kwa nguvu. Ndo maana sifanyag hizo kazi
Ukuni utakua haujakukolea vizuri. Mlivyo ving'ang'anizi hivyo hiyo sio sababu kabisa ya kunyanyua majeshi. Tena kama wewe ndo ungemjibu "Ndo ufanye mpango sasa unioe"Ningenyanyua majeshi yangu sahiyo hiyo na kumdelete kwanzia mda huo
Haijalishi...Ila Papuchi si kasha kula
Ha haa atajua na ukuni wake sahiyo sina habariUkuni utakua haujakukolea vizuri. Mlivyo ving'ang'anizi hivyo hiyo sio sababu kabisa ya kunyanyua majeshi. Tena kama wewe ndo ungemjibu "Ndo ufanye mpango sasa unioe"
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sasaje? Mauno ukate na vyombo uoshe? Basi anilipe tu mshahara wa wangu kama ndo hivyo. Kiruuuuuuukikata mauno inatosha au?
Kikwidi changu cheniwajaSasaje? Mauno ukate na vyombo uoshe? Basi anilipe tu mshahara wa wangu kama ndo hivyo. Kiruuuuuu
Kama ulikuwepo mkuuWewe hufanyagi hizo kazi, ukishabanduliwa unasepa kivyako! !![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Stunter is my hubby, he deserve it allHata Stunter hujuwahi kumpa haka ka offer jamani?[emoji1][emoji1][emoji1]
Sielewi bhanaKikwidi changu cheniwaja