Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

Mkuu Si ajabu vipi wakati habari imeeleza kuwa muuaji alishaachana na mke wake , ndo kibwana akamchukua!, Hivi huwa mnasoma habari nzima au huwa mnasoma title na kukimbilia kukomenti?
Wewe umeisoma comment yangu ukaielewa!!
Acha kujitia mjuaji na hujui kitu ndgu yangu.

Wacha nikueleweshe nilichomaanisha, ni hivi hao wake za watu ama lah waliachana kwa maneno( kama huyo wa kwenye habari) wengi wakikutana na mwanaume hukana kabisa maisha yao ya nyuma kua waliwahi kuolewa ama hata kuzaa.

Sasa wewe mgeni wa hizi mambo unahisi nimereply kitu hakuna, kalagabaho uambiwe " nimeachana na mume wangu" afu we uweke kambi utaipata fresh.
 
Nyie vijana wa sikuhiz wasenge sana, unaendaje kupiga game nyumban au ktk getto la mwanamke.... Pumbav zenu mtakufa sana na mapanga. Hata mwanamke akuonyoshe Divorce Papers usikubali kulala kwake...
Hapo muuaji kama ana akili na alijipanga vzuri basi hakuna kesi hapo...
Yaani kuna mpangaji mwenzangu hapa mumewe anasafiri sana akiondoka tu siku hio hio anaingiza njemba moja hivi insignia usiku inatoka alfajiri saa kum na moja.

Hua lazima nimskie kwa kua diirisha langu lipo karibu na geti. Najiuliza hawa wanajiamini nini nakosa majibu.
 
Days are numbered, ipo siku yao na jamaa atakuja kujua atege mtego...
Hakuna dharau na dhambi mbaya kama kuingiza mchepuko ndani ya nyumba ambayo unaishi na mwenza wako. Vijana wa sikuhiz tunajitoa akili sana ndio maana tunaishia pabaya.
 
Wanaume wengi hawajui kuachika hata kama kosa ni lao wanabaki kuwa ving'ang'anizi utadhani waliibandika wao hio mbususu na kuipa kopiraiti ya peke yao.

Ukiachwa achika acha watu waishi kwa amani
Watu wanawekza jamani acheni inauma sana...tatizo ya wananawake hamkataagi hata kama humpendi njemba. Cha msingi upate huduma alafu baadae ndio mnaleta nyodo
 
Tatizo wanaowekeza wengi wanadondokea wasipopendwa,wakiigiziwa kidogo tu wanaona wameikamata dunia kumbe inapendwa pesa yao tu. Binti keshaona pale hakuna pesa tofauti na enzi za uchumba.

Wengine wakiambiwa ukweli kuwa hawapendwi wanatishia mauaji,inabidi wakubaliwe kisha wanapigwa matukio
Watu wanawekza jamani acheni inauma sana...tatizo ya wananawake hamkataagi hata kama humpendi njemba. Cha msingi upate huduma alafu baadae ndio mnaleta nyodo
 
Halafu kuna watu wanakataa wabantu sio makatili,,,nasema hivi wabantu ni makatili na wanaongoza kwa ukatili in ze weldi, but sio wote nisipate dhambi. Huko maswa jamaa mmoja amekutwa na nyeti 5 za mwanamke, chuchu 2 na mafuvu 2.

Refer, south afrika, congo, kenya na hapa bongo n.k. n.k..
 
Duh juzi kati tu nilikua nachakata mbususu ya mke wa mtu alieachika siku 3 zilizopita. Naacha huu ujinga na huyu dem nafuta namba kabisa.
Una mambo ya kizamani sana mkuu.

Kwani kufuta namba kabla ya kuvunja mahusiano inasaidia nini?
 
Masikini apo utakuta aliambiwa Mimi ndio nmemuacha na hawezi fanya kitu [emoji23][emoji23]
 
Tatizo wanaowekeza wengi wanadondokea wasipopendwa,wakiigiziwa kidogo tu wanaona wameikamata dunia kumbe inapendwa pesa yao tu. Binti keshaona pale hakuna pesa tofauti na enzi za uchumba.

Wengine wakiambiwa ukweli kuwa hawapendwi wanatishia mauaji,inabidi wakubaliwe kisha wanapigwa matukio
Tatizo wanaume wabisha sana tukiwaambia kuwa mwanamke yake ni pesa na sio mapenzi wanatuona sie mafalaaa...tunawaambia hakuna kuoa ni kugeggeda tuu na kutia mimba bado wanatuona wajinga
 
Kwenu vijana wa dot com, Ni Sheria ya asili ya mahusiano"kamwe usimpeleke dume kwenye zizi la jike" hata ng'ombe tu hapani,lnakuaje we mwanaume yanaendaje nyumban kwa mwanamke? Ili Uwe na mamlaka na huyo Dem lazima uwe katika empire yako!
 
😂😂
Ukute jamaa anakuchora tu huku anaandaa panga!
Kanuni muhimu: Usithubutu kula mbususu nyumbani kwa mwanamke
😀😀😀 Unadhani hatujui hiyo kanuni ni kiburi cha wanaume tu na kujiona miamba + kubana matumizi.
 
Tatizo wanaowekeza wengi wanadondokea wasipopendwa,wakiigiziwa kidogo tu wanaona wameikamata dunia kumbe inapendwa pesa yao tu. Binti keshaona pale hakuna pesa tofauti na enzi za uchumba.

Wengine wakiambiwa ukweli kuwa hawapendwi wanatishia mauaji,inabidi wakubaliwe kisha wanapigwa matukio
Una point sana.

Hayo ndiyo mambo halisi yaliyopo kwenye mahisiano.

Ulaghai na uongo uongo mwingiii!

Yakitokea mauwaji, ndiyo mhusika anaanza kujibaraguza na kutafuta msaada, huku kalikoriga mwenyewe.

Kama mtu haumpendi, muoneshe msimamo wake mapema.

Akikukazia fuvu kukufuatilia, mchane makavu.

Hawezi kuendelea kukufuatilia akishaona msimamo wako usioyumba.
 
Back
Top Bottom