pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Hata wanawake sema wanawake vita yao inapitia kwa waganga.Wanaume wengi hawajui kuachika hata kama kosa ni lao wanabaki kuwa ving'ang'anizi utadhani waliibandika wao hio mbususu na kuipa kopiraiti ya peke yao.
Ukiachwa achika acha watu waishi kwa amani