Una roho ngumu Kama ya pakaDuh juzi kati tu nilikua nachakata mbususu ya mke wa mtu alieachika siku 3 zilizopita. Naacha huu ujinga na huyu dem nafuta namba kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho ngumu Kama ya pakaDuh juzi kati tu nilikua nachakata mbususu ya mke wa mtu alieachika siku 3 zilizopita. Naacha huu ujinga na huyu dem nafuta namba kabisa.
Tuzini na Nani sasaAziniye na mwanamke hana akili kabisa.
Huruhusiwi kuzini na mtu awaye yote, tamaa yako weka kwa mke wako tuTuzini na Nani sasa
Ilikuwaje nipe storyJana usiku hapa mtaani walitaka kutoana roho kisa hayohayo mapenzi... na kwannini mwanaume uende kulala kwa mwanamke
[emoji1787][emoji1787]Kuna watu walivyo na roho ngumu utashangaa walivyosoma habari hii tu ikadisa[emoji849][emoji848]
Hata mimi nimeelewa hivyoUnamanisha unakula mbususu ya bibi wa huyo mtoto mchanga?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nshawahi kulala kwa single maza flan hv asee saa 9 usku watu wanapita njian nkadhani eheeee sku ya kufirimbwa ndo hii[emoji41] .cjawahi rudia tenaaaaaaaaa
ndo maana mie nikifanyaga mapenzi popote bastola yangu haikai mbali na mimi kiunoni.......nafunguaga zipu tuuu....Hatari
Mmmhndo maana mie nikifanyaga mapenzi popote bastola yangu haikai mbali na mimi kiunoni.......nafunguaga zipu tuuu....
kabisa baby wangu unadhani matani? Heeee!!@Mmmh
Farida wengi ni pisi kali hivyo nzi kafia kwenye kidonda kipya.
Kwa Uchumi gani!Wanawake wengi sana tujitahidi kuwa na wake wengi ili ukiachwa huwazi sana
Baadhi ya wanaume wanapomwacha mwanamke wanataka mwanamke huyo aje kumpigia magoti kuomba msamaha, na kujishusha kwa mwanamke, ili mwanaume aonekane mjanja.Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajili ya kuamkia leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kijiji hicho, Mbena Loki amesema Musa aliuawa na mtu aliyedaiwa kuwa ni mume wa mwanamke huyo aliyemtaja kwa jina la Farida Ally.
Mwenyekiti huyo amesema taarifa za kuuawa kwa mwanaume huyo zilianza kusambaa asubuhi na uongozi wa Kijiji ulifika eneo la tukio na kumkamata mwanamke huyo na kumpeleka kituo kidogo cha Polisi Mkuyuni kwa ajili ya usalama wake.
“Taarifa nilizonazo ni kwamba, kwa muda mrefu huyo mwanamke aliachana na mume wake (ambaye ni mtuhumiwa), hivyo alianzisha uhusiano wa mapenzi na marehemu, hata hivyo, mtuhumiwa alikuwa akiendelea kumfuatilia huyu mwanamke," amesema Loki.
“Leo kaamua kumvizia na kumkuta ndani na kuamua kumuua mwanaume mwenzake kwa kumkata mapanga," alisema.
Mtuhumiwa baada ya kufanya mauaji hayo alikimbia na jitihada za kumsaka zinaendelea.