Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Ahahaaa hzo habari za kuagiza chochote usiziamini mwenzangu utachoma hela zako bure.mi kuagiza kwangu mwisho huku.maji madoogo ya Kilimanjaro basi
Mimi mwisho elf 1000 kama mtu hajafika
 
Mimi mwisho elf 1000 kama mtu hajafika
Hata Mimi.tena nauliza kabisa kama maji ni huku mbili namuambia subiri kwanza .aaah akija akiuliza mbona hujaagiza nasema nipo kwa dayati muda wa kufungua mdomo ulikuwa bado dakika tano. Teh teh
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeee

Alafu unaendaje bar na mwanaume kapuku hana pesaaa
shangaa na wewe
 
Hahaahah....aende ulaya bhanaa kwani shin'ngapii
Kama Uganda alishindwa kumuelewa yule muandishi alie muuliza swali, hadi Mu7 akamtafasiria..... Sasa akienda ulaya sindio atakua bubu kabisa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hata Mimi.tena nauliza kabisa kama maji ni huku mbili namuambia subiri kwanza .aaah akija akiuliza mbona hujaagiza nasema nipo kwa dayati muda wa kufungua mdomo ulikuwa bado dakika tano. Teh teh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata mm huwa sifanyi makosa hata kidogooo maana yawezekana mwanaume ana plan za kukukomeshaa tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata mm huwa sifanyi makosa hata kidogooo maana yawezekana mwanaume ana plan za kukukomeshaa tu
Sema Mimi sio mlaji wala mnywaji pia pia so ndo hvo
 
shangaa na wewe
Mimi huwa naangalia level ya mwanaume najua huyu anafaaa kunitoa out nile ninywee mpaka nitambaeeee na magoti.
Nikiona mwanaume anajikunanupele unatoka vumbii lazima na mm niwe vizur mfukoni
 
Hahahaha...wonderful !!!
 
Mmhh,wanaingiaga chooni kujitapisha pombe ziwaishe,ili waanze moja.Sio kukomoana huko kitu gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…