Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Mimi mwisho elf 1000 kama mtu hajafikaAhahaaa hzo habari za kuagiza chochote usiziamini mwenzangu utachoma hela zako bure.mi kuagiza kwangu mwisho huku.maji madoogo ya Kilimanjaro basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwisho elf 1000 kama mtu hajafikaAhahaaa hzo habari za kuagiza chochote usiziamini mwenzangu utachoma hela zako bure.mi kuagiza kwangu mwisho huku.maji madoogo ya Kilimanjaro basi
Ujipange vipi?hao viumbe unawajua au unawaskia?Sasa mwanaume unawatoa out wanawake mfukon hujajipanga unategemea nn?
Yes.Did you see the moral growth?
Hahaahah....aende ulaya bhanaa kwani shin'ngapiiKumbe na "mjomba" ni jina lake....[emoji12] [emoji12]
Huyu Baba hadi amalize miaka saba iliobaki, najua atakua amesha batizwa majina ya kila rangi...
Hata Mimi.tena nauliza kabisa kama maji ni huku mbili namuambia subiri kwanza .aaah akija akiuliza mbona hujaagiza nasema nipo kwa dayati muda wa kufungua mdomo ulikuwa bado dakika tano. Teh tehMimi mwisho elf 1000 kama mtu hajafika
Wanaume mmezid uchoyo hamna loloteeeUjipange vipi?hao viumbe unawajua au unawaskia?
shangaa na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeee
Alafu unaendaje bar na mwanaume kapuku hana pesaaa
Kama Uganda alishindwa kumuelewa yule muandishi alie muuliza swali, hadi Mu7 akamtafasiria..... Sasa akienda ulaya sindio atakua bubu kabisa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaahah....aende ulaya bhanaa kwani shin'ngapii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata mm huwa sifanyi makosa hata kidogooo maana yawezekana mwanaume ana plan za kukukomeshaa tuHata Mimi.tena nauliza kabisa kama maji ni huku mbili namuambia subiri kwanza .aaah akija akiuliza mbona hujaagiza nasema nipo kwa dayati muda wa kufungua mdomo ulikuwa bado dakika tano. Teh teh
Mkuu naona umeweka uzi ndani ya uzi
Ila mpe pongezi Mkorintho
Ndo akajifunze sasa watu wanavyoishi,..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Uganda alishindwa kumuelewa yule muandishi alie muuliza swali, hadi Mu7 akamtafasiria..... Sasa akienda ulaya sindio atakua bubu kabisa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Then relodge your contribution.Yes.
Sema Mimi sio mlaji wala mnywaji pia pia so ndo hvo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata mm huwa sifanyi makosa hata kidogooo maana yawezekana mwanaume ana plan za kukukomeshaa tu
Mimi huwa naangalia level ya mwanaume najua huyu anafaaa kunitoa out nile ninywee mpaka nitambaeeee na magoti.shangaa na wewe
Hahahaha...wonderful !!!safi kabisa, ni hivyo kuna wadada hivyo hivyo brother cjui aliwatoa wapi..wamefika pale wakaambiwa waagize, wakaagiza mishikaki mia300 na savana 3 tatu, tukaona fresh tu, mzigo ukaisha, wakaagiza kuku wa kienyeji wawili, ikabidi nimuage brother...akasema leo watalipa, ckutaka kujua ilikuwaje baada ya mimi kuondoka ila cha ajabu nilikoelekea nilimkuta brother ashafika na yuko anapiga maji yake taratiibu...nilipomuuliza vipi, akajibu tayari..
Mmhh,wanaingiaga chooni kujitapisha pombe ziwaishe,ili waanze moja.Sio kukomoana huko kitu gani?Wanaume mmezid uchoyo hamna loloteee
Hiyo safi sanaaaa wanaume wachoyooo snaaSema Mimi sio mlaji wala mnywaji pia pia so ndo hvo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmhh,wanaingiaga chooni kujitapisha pombe ziwaishe,ili waanze moja.Sio kukomoana huko kitu gani?
Why should I ?Then relodge your contribution.