Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Mimi mwisho elf 1000 kama mtu hajafika
Hata Mimi.tena nauliza kabisa kama maji ni huku mbili namuambia subiri kwanza .aaah akija akiuliza mbona hujaagiza nasema nipo kwa dayati muda wa kufungua mdomo ulikuwa bado dakika tano. Teh teh
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeee

Alafu unaendaje bar na mwanaume kapuku hana pesaaa
shangaa na wewe
 
Hahaahah....aende ulaya bhanaa kwani shin'ngapii
Kama Uganda alishindwa kumuelewa yule muandishi alie muuliza swali, hadi Mu7 akamtafasiria..... Sasa akienda ulaya sindio atakua bubu kabisa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hata Mimi.tena nauliza kabisa kama maji ni huku mbili namuambia subiri kwanza .aaah akija akiuliza mbona hujaagiza nasema nipo kwa dayati muda wa kufungua mdomo ulikuwa bado dakika tano. Teh teh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata mm huwa sifanyi makosa hata kidogooo maana yawezekana mwanaume ana plan za kukukomeshaa tu
 
shangaa na wewe
Mimi huwa naangalia level ya mwanaume najua huyu anafaaa kunitoa out nile ninywee mpaka nitambaeeee na magoti.
Nikiona mwanaume anajikunanupele unatoka vumbii lazima na mm niwe vizur mfukoni
 
safi kabisa, ni hivyo kuna wadada hivyo hivyo brother cjui aliwatoa wapi..wamefika pale wakaambiwa waagize, wakaagiza mishikaki mia300 na savana 3 tatu, tukaona fresh tu, mzigo ukaisha, wakaagiza kuku wa kienyeji wawili, ikabidi nimuage brother...akasema leo watalipa, ckutaka kujua ilikuwaje baada ya mimi kuondoka ila cha ajabu nilikoelekea nilimkuta brother ashafika na yuko anapiga maji yake taratiibu...nilipomuuliza vipi, akajibu tayari..
Hahahaha...wonderful !!!
 
Back
Top Bottom