Mwanaume Black🥰🥰🥰

Mwanaume Black🥰🥰🥰

Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰

Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸

BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁

Play song for us Mr piano man😁🎵


KARIBUNI

♥️♥️♥️
Mimi ni mfupi
Mwenyeji wa morogoro
Nina mwili wa wastani
NI mweusi
Nina kichogo Fulani kwa mbali
KAMA HUTOJALI AMBATANA NA MIMI TUIANZE SAFARI YA MATUMAINI KWA PAMOJA😋😋😋
 
Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰

Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸

BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁

Play song for us Mr piano man😁🎵


KARIBUNI

♥️♥️♥️

Kwanini hutamani jumanne ifike? 🤣🤣
Nwei,july 13 2024 ifike salama...tupewe kadi moja ya wanaJF

Hongera
 
Fanyeni yote lkn mkizaa watoto weusi kama ngozi ya goti msihangaike kuweka filter ktk camera ili waonekane weupe mitandaoni!
 
Back
Top Bottom