Mwanaume Black🥰🥰🥰

Mwanaume Black🥰🥰🥰

Chagua chagua mwanaume huku wewe ukiwa umeumbika haswaaaa

Wengi wanapenda man awe tall, kifua, black, wakati yeye ni mfupi kapigwa pasi sura kama andazi lililoingia michanga, kitambi kama afisa meneja na meno kama mbegu za Machungwa
Hhahhahahhahaaha

This is violence!. Sanamu lako watakujengea vijana weupe wafupi.
 
Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰

Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸

BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁

Play song for us Mr piano man😁🎵


KARIBUNI

♥️♥️♥️
Sio kila kitu cha kutangaza tangaza,utakuja logwa bure wewe
 
kuna siku wanaume mablack wataisha tutabaki wafupi tuu na watatung’ang’ania sana.
 
Back
Top Bottom