Mwanaume Black🥰🥰🥰

Mwanaume Black🥰🥰🥰

Sitamani Jumanne ifike🤸
Una maanisha utatafunwa na huyo jamaa kuanzia Jumamosi,Jumapili na Jumatatu coz hizo ni siku za mapumziko,

Hutamani ifike Jumanne coz jamaa yako ataenda kazini kwake au wewe utaenda kazini coz Jumanne ndio siku ya kazi.
 
Chagua chagua mwanaume huku wewe ukiwa umeumbika haswaaaa

Wengi wanapenda man awe tall, kifua, black, wakati yeye ni mfupi kapigwa pasi sura kama andazi lililoingia michanga, kitambi kama afisa meneja na meno kama mbegu za Machungwa
Dah! Nimecheka mpaka nimepaliwa we dada ujengewe sanamu
 
Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰

Nyiee acheniii 🤗
Sitamani Jumanne ifike🤸

BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁

Play song for us Mr piano man😁🎵


KARIBUNI

♥️♥️♥️
FB_IMG_1717911709603.jpg
 
Back
Top Bottom