kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
anabahati Yuko mbali nami kwasasa kwanza ananuksi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haoni hata aibu huyo mshenzi wa tabia.Dada anajuta hatari kupishana na gari la mshahara
Elon ni kama Mimi TUHata mimi ningerudi kwani shida iko wapi 😅😅😅
Elon musk ameamua kujitengenezea robot za mapenzi famasiala Nini weweElon Musk hawezi rudiana na shetani, ndio maana baada ya kumuacha huyo mwanamke, mambo ya Elon yakawa mazuri sana, huyo ni ibilisi
subiri michongo itiki, pesa tunazozisikilizia zinakujaga na ma-ex kibao....Kuna pesa naisikilizia