Mwanaume hautopendwa bure

Mwanaume hautopendwa bure

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.

Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.

Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.

Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)

Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.

Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.

Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.

I rest my case.
 
Sioni uhalisia kwenye hili. Simply sababu nothing is absolute. Psychologically wanawake wana hisia vilevile, na kama sisi wana sababu zao nyingine za kupenda ukiondoa pesa. I know this from experience. Na considering wanawake mostly ni viumbe sentimental na emotional based. Makes things even easier. You just gotta hit the right spots if you're intelligent enough to know so.

I don't give them much, yet they still wanna hook with me. What's the explanation for such a phenomenon?

Simple, it's nature.
 
I don't give them much, yet they still wanna hook with me. What's the explanation for such a phenomenon?
That is because no man on her cycle can give her more than that little you give her, the day that man show up she will dump you and even forget that you exist down the earth.
Women's love is opportunistic, period.
 
Sioni uhalisia kwenye hili. Simply sababu nothing is absolute. Psychologically wanawake wana hisia vilevile, na kama sisi wana sababu zao nyingine za kupenda ukiondoa pesa. I know this from experience. Na considering wanawake mostly ni viumbe sentimental na emotional based. Makes things even easier. You just gotta hit the right spots if you're intelligent enough to know so.

I don't give them much, yet they still wanna hook with me. What's the explanation for such a phenomenon?

Simple, it's nature.
We side utatuuwa sisi std 7 mkuu
 
Back
Top Bottom