Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.
Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.
Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.
Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)
Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.
Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.
Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.
I rest my case.