Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Sema ni vizuri wanawake mtuamini maana bila imani ni shida kwakweliKama mama yangu ana declare hakuwahi kupata shida kwenye ndoa yake basi naamini hilo...my dad was a Saint...hata mkibisha lkn mimi naamini hilo na nitaendelea kuamini hilo.
Wewe cheka tu[emoji28]