Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umekuwa mke wa watu wangapi kujua hili?Waongo nyie hata hamuwapendi wake zenu kihivyo
Mtoa mada amekuwa mume wa watu wangapi?Wewe umekuwa mke wa watu wangapi kujua hili?
Swali langu nimelielekeza kwako, ninasubiria majibu.Mtoa mada amekuwa mume wa watu wangapi?
Mimi nilikuwa namjibu mtoa mada.Swali langu nimelielekeza kwako, ninasubiria majibu.
Inawezekana ulipata experience ya hivyo kwa mmoja na ukahitimisha wote wako hivyo.Mimi nilikuwa namjibu mtoa mada.
Ni uongo mtupu kaongea...huwezi sema unampenda mke wakati yeye mke hafeel hivyo.
Una michepuko mia, dharau, na kipigo napata hlf uniambie unanipenda nitaamini?
Mapenzi ni vitendo zaidi na si maneno ambayo hayana uhalisia.
Wapo wanaowapenda wake zao lkn wengi hapa ni wanafiki.
Ingeanzishwa mada kuwaponda wake zao utashangaa wanavyofunguka ni jinsi gani wapo nao tu hata hawawapendi
Waongo nyie hata hamuwapendi wake zenu kihivyo
Mimi nilikuwa namjibu mtoa mada.
Ni uongo mtupu kaongea...huwezi sema unampenda mke wakati yeye mke hafeel hivyo.
Una michepuko mia, dharau, na kipigo napata hlf uniambie unanipenda nitaamini?
Mapenzi ni vitendo zaidi na si maneno ambayo hayana uhalisia.
Wapo wanaowapenda wake zao lkn wengi hapa ni wanafiki.
Ingeanzishwa mada kuwaponda wake zao utashangaa wanavyofunguka ni jinsi gani wapo nao tu hata hawawapendi
Inawezekana ni sahihi kwa baadhi ya wanaume. Lakini wengi hawana upendo huo kwa wake zao na lipo wazi wazi kabisa.Inawezekana ulipata experience ya hivyo kwa mmoja na ukahitimisha wote wako hivyo.
Ila alichoandika mtoa mada ni sahihi hasa ukizingatia kwamba wanaume wanaweza kutamani na kufanya uzinzi lakini asiwe na connection yoyote na huyo mwanamke. Na mara nyingi wanaume wanaofanya uzinzi nje huwa sio wakorofi kwa wake zao.
Mimi nasisitizia kwamba mume awe na mke wake tu na amjali na kumpenda. Mke naye amheshimu mume wake. Uzinzi na unyanyasaji uepukwe.
Hujakutana na ashura wa tabata [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inawezekana ni sahihi kwa baadhi ya wanaume. Lakini wengi hawana upendo huo kwa wake zao na lipo wazi wazi kabisa.
Ha haaa hivi mnavyosema kuwekwa ndani mna maanisha nini yaani? As if kama nilikuwa nje huko sina pa kuishi umefanya kunisitiri?😀😀
Twende polepole Mkuu!
Ila jua kuwa Mumeo anakupenda, hayo mengine ni mapungufu ya wanaume wote Duniani.
Mwanaume Kama hakupendi hawezi Kukuoa, mpaka anakuweka ndani jua amekupenda, amerizika na wewe, na yupo tayari Kwa kuwajibika
Ha haaa hivi mnavyosema kuwekwa ndani mna maanisha nini yaani? As if kama nilikuwa nje huko sina pa kuishi umefanya kunisitiri?
Kuwekwa ndani kunaleta maana kama kuna penzi la kweli kati yenu na kila mmoja anafeel hivyo.
Wanaume wengi mnaoa sio kwasababu mmependa bali mnataka mtu wa kuwazalia watoto, kuwafulia nguo, usafi na kuwapikia. Kiufupi hamna sababu ya msingi that's y mnawachukulia wake zenu kama slaves.
Sasa hayo majukumu yenu mbona hamyatimizi ipasavyo?Wanaume hatupo hivyo unatusingizia.
Alafu hayo majukumu uliyoyataja ndio majukumu ya Mke sasa ulitaka uje ukae Kama mdoli Ndani?
Majukumu ya Mwanaume ni kumtunza mkewe na familia, kutafuta pesa, kulinda familia, na kuhakikisha Familia yake inakua na kufanikiwa, huku akiandaa Urithi Kwa kizazi chake.
Ukiwa na mtazamo wa kuwa tunawaona ninyi ni Slaves basi hata Sisi tunaweza kuwa na mtazamo huohuo
Kuwatumikia ninyi Kuwatunza hamuoni kuwa ni utumwa?
Tafuteni wanaume wenye akili, acheni tamaa za kijinga za Mali.
Unatafuta mwanaume mwenye Mali nyingi au asiye level yako Kwa nini asikugeuze mtumwa na kukunyanyasa?
Sasa hayo majukumu yenu mbona hamyatimizi ipasavyo?
Tatizo lenu mnaongea tu maneno mazuri ila vitendo zero waulize hata wenzako
Inawezekana pia hatutimizi majukumu yetu. Haiwezekani kila mtu akawa perfectTunatimiza yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Nimekuambia wanawake ni viumbe wanaoishi kwenye ndoto. Ndio maana Sisi wanaume tunaamua kuwapa ahadi nzuri zinazoendana na ndoto zenu ili maisha yaendelee.
Nikirejea upande wenu, ninyi mnatimiza majukumu yenu ipasavyo?
Inawezekana pia hatutimizi majukumu yetu. Haiwezekani kila mtu akawa perfect
Baba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace🙏Ila jua kuwa Mumeo anakupenda, Hilo likae kichwani.
Mume ni Kama Mzazi.
Mzazi unampenda mtoto, unatamani kumpa kila kitu kizuri mtoto lakini uwezo ndio huna.
Mtoto anaweza fikiri humpendi Kwa sababu labda kuna mambo unashindwa kumfanyia lakini ukweli ni kuwa Hakuna mzazi asiyempenda mwanaye wa kumzaa, labda mtoto huyo awe Hana adabu.
Ndivyo tulivyo Wanaume.
Tunapenda Wake zetu kuliko kitu chochote hapa Duniani. Ni vile ninyi hamjui.
Hayo mengine ni changamoto za Maisha.
Ila weka kichwani Vile tunavyomchukulia mchepuko na Mke ni mbingu na Ardhi.
Uliza Mwanaume yeyote, au hata Baba yako ukiweza.
Unacheza na Mke wewe!