Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

Hujakutana na ashura wa tabata [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Swali langu nimelielekeza kwako, ninasubiria majibu.
Mimi nilikuwa namjibu mtoa mada.
Ni uongo mtupu kaongea...huwezi sema unampenda mke wakati yeye mke hafeel hivyo.
Una michepuko mia, dharau, na kipigo napata hlf uniambie unanipenda nitaamini?
Mapenzi ni vitendo zaidi na si maneno ambayo hayana uhalisia.
Wapo wanaowapenda wake zao lkn wengi hapa ni wanafiki.
Ingeanzishwa mada kuwaponda wake zao utashangaa wanavyofunguka ni jinsi gani wapo nao tu hata hawawapendi
 
Inawezekana ulipata experience ya hivyo kwa mmoja na ukahitimisha wote wako hivyo.

Ila alichoandika mtoa mada ni sahihi hasa ukizingatia kwamba wanaume wanaweza kutamani na kufanya uzinzi lakini asiwe na connection yoyote na huyo mwanamke. Na mara nyingi wanaume wanaofanya uzinzi nje huwa sio wakorofi kwa wake zao.

Mimi nasisitizia kwamba mume awe na mke wake tu na amjali na kumpenda. Mke naye amheshimu mume wake. Uzinzi na unyanyasaji uepukwe.
 
Waongo nyie hata hamuwapendi wake zenu kihivyo

😀😀
Twende polepole Mkuu!

Ila jua kuwa Mumeo anakupenda, hayo mengine ni mapungufu ya wanaume wote Duniani.

Mwanaume Kama hakupendi hawezi Kukuoa, mpaka anakuweka ndani jua amekupenda, amerizika na wewe, na yupo tayari Kwa kuwajibika
 
Ni kwanini mwanamke yoyote ukimwambia umeoa anaishiwa nguvu?hawapendi hii kauli
 
Mimi nilikuwa namjibu mtoa mada.
Ni uongo mtupu kaongea...huwezi sema unampenda mke wakati yeye mke hafeel hivyo.
Una michepuko mia, dharau, na kipigo napata hlf uniambie unanipenda nitaamini?
Mapenzi ni vitendo zaidi na si maneno ambayo hayana uhalisia.
Wapo wanaowapenda wake zao lkn wengi hapa ni wanafiki.
Ingeanzishwa mada kuwaponda wake zao utashangaa wanavyofunguka ni jinsi gani wapo nao tu hata hawawapendi

Mkuu Hakuna mwanaume anayeweza kukuoa Kama hakupendi, hilo weka kichwani mwako.

Kumbuka pia Wanaume udhaifu wetu mkubwa ni tamaa ya Wanawake. Hilo lipo Kwa wanaume karibu wote Duniani.

Hata hivyo jua kuwa Wapo wanaume wenye matatizo ya kisaikolojia/kiakili ambao ndio hao wanaopiga wake zao Kwa hasira za kijinga.

Mwanaume anayekupenda na mwenye Akili iliyotulia yaani asiye na mental Disorders hawezi kukupiga kukukomoa labda kukuadhibu Kwa Kofi moja au mawili ya kuibusti akili yako. Maana wanawake na ninyi akili zenu wengi wenu mpaka zibustiwe
 
Inawezekana ulipata experience ya hivyo kwa mmoja na ukahitimisha wote wako hivyo.

Ila alichoandika mtoa mada ni sahihi hasa ukizingatia kwamba wanaume wanaweza kutamani na kufanya uzinzi lakini asiwe na connection yoyote na huyo mwanamke. Na mara nyingi wanaume wanaofanya uzinzi nje huwa sio wakorofi kwa wake zao.

Mimi nasisitizia kwamba mume awe na mke wake tu na amjali na kumpenda. Mke naye amheshimu mume wake. Uzinzi na unyanyasaji uepukwe.
Inawezekana ni sahihi kwa baadhi ya wanaume. Lakini wengi hawana upendo huo kwa wake zao na lipo wazi wazi kabisa.
 
Hujakutana na ashura wa tabata [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Labda mshamba wa wanawake ndio anaweza kutekwa na akina Ashura.

Au labda mke awe anasumbua kupita kiasi. Na kikawaida watu Aina yangu Mke hawezi kuleta ujinga akachekewa,
 
Inawezekana ni sahihi kwa baadhi ya wanaume. Lakini wengi hawana upendo huo kwa wake zao na lipo wazi wazi kabisa.

Huwajui Wanaume.
Wanawake mnaishi kwa matarajio Kama mpo ndotoni. Ukiishi katika uhalisia utagundua kuwa wanaume wengi wanapenda Wake zao.

Sema nyie kuna mambo mnataka tufanane yaani tuwe Kama ninyi(wanawake) Jambo ambalo halitowezekana
 
😀😀
Twende polepole Mkuu!

Ila jua kuwa Mumeo anakupenda, hayo mengine ni mapungufu ya wanaume wote Duniani.

Mwanaume Kama hakupendi hawezi Kukuoa, mpaka anakuweka ndani jua amekupenda, amerizika na wewe, na yupo tayari Kwa kuwajibika
Ha haaa hivi mnavyosema kuwekwa ndani mna maanisha nini yaani? As if kama nilikuwa nje huko sina pa kuishi umefanya kunisitiri?
Kuwekwa ndani kunaleta maana kama kuna penzi la kweli kati yenu na kila mmoja anafeel hivyo.

Wanaume wengi mnaoa sio kwasababu mmependa bali mnataka mtu wa kuwazalia watoto, kuwafulia nguo, usafi na kuwapikia. Kiufupi hamna sababu ya msingi that's y mnawachukulia wake zenu kama slaves.
 
Wanaume hatupo hivyo unatusingizia.

Alafu hayo majukumu uliyoyataja ndio majukumu ya Mke sasa ulitaka uje ukae Kama mdoli Ndani?

Majukumu ya Mwanaume ni kumtunza mkewe na familia, kutafuta pesa, kulinda familia, na kuhakikisha Familia yake inakua na kufanikiwa, huku akiandaa Urithi Kwa kizazi chake.

Ukiwa na mtazamo wa kuwa tunawaona ninyi ni Slaves basi hata Sisi tunaweza kuwa na mtazamo huohuo

Kuwatumikia ninyi Kuwatunza hamuoni kuwa ni utumwa?

Tafuteni wanaume wenye akili, acheni tamaa za kijinga za Mali.
Unatafuta mwanaume mwenye Mali nyingi au asiye level yako Kwa nini asikugeuze mtumwa na kukunyanyasa?
 
Sasa hayo majukumu yenu mbona hamyatimizi ipasavyo?
Tatizo lenu mnaongea tu maneno mazuri ila vitendo zero waulize hata wenzako
 
Tunatimiza yaliyo ndani ya uwezo wetu.

Nimekuambia wanawake ni viumbe wanaoishi kwenye ndoto. Ndio maana Sisi wanaume tunaamua kuwapa ahadi nzuri zinazoendana na ndoto zenu ili maisha yaendelee.

Nikirejea upande wenu, ninyi mnatimiza majukumu yenu ipasavyo?
 
Inawezekana pia hatutimizi majukumu yetu. Haiwezekani kila mtu akawa perfect
 
Ila jua kuwa Mumeo anakupenda, Hilo likae kichwani.

Mume ni Kama Mzazi.
Mzazi unampenda mtoto, unatamani kumpa kila kitu kizuri mtoto lakini uwezo ndio huna.
Mtoto anaweza fikiri humpendi Kwa sababu labda kuna mambo unashindwa kumfanyia lakini ukweli ni kuwa Hakuna mzazi asiyempenda mwanaye wa kumzaa, labda mtoto huyo awe Hana adabu.

Ndivyo tulivyo Wanaume.
Tunapenda Wake zetu kuliko kitu chochote hapa Duniani. Ni vile ninyi hamjui.

Hayo mengine ni changamoto za Maisha.

Ila weka kichwani Vile tunavyomchukulia mchepuko na Mke ni mbingu na Ardhi.
Uliza Mwanaume yeyote, au hata Baba yako ukiweza.

Unacheza na Mke wewe!
 
Baba yangu hakuwahi kuwa na mchepuko. May he continue to rest in peace🙏
 
Kuna kitu tunakosea, watu kuonana sio kwamba Wana uzuri kuliko wengine au Mme hataona wanawake warembo kuliko mkewe kama ambavyo Mke atavutiwa na wanaume wengine ambao sio Mme wake, hiyo haiepukiki.

Watu kufikia maamuzi ya kuonana ni Ile mnaona Kuna vigezo kadhaa vinaendana na malengo yenu mnaamua kufanya maamuzi ya kuishi pamoja. Hapo ndio inabidi uheshimu huo mkataba. Kwamba utaona wanaume/ wanawake wengine huko nje lakini utakumbuka haijalishi utafanya kitu Gani lakini umefungwa na makubaliano Kwa mtu flani Mme/ mke wako.

Mme anaweza kuogopa ndoa kuvunjia Kwa kuwaza watoto, familia itamchukuliaje, jamii itamwelewa vipi n.k lakini upendo ikawa sio kigezo kabisa Cha kushikilia ndoa.
Ndio maana Kuna wakati inabidi wanandoa wajifunze kupendana kama haikuwa Moja ya sababu kuu zilizopelekea kuoana.

Baada ya kusema hayo, nirudi Kwa Taikon wa fasihi, hapo sema mwanaume hata awe na michepukonakaipenda kuliko Mke wake, atahakikisha analinda heshima ya mkewe.
 
Back
Top Bottom