Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Sep 8, 2022 #61 Demi said: Kama mama yangu ana declare hakuwahi kupata shida kwenye ndoa yake basi naamini hilo...my dad was a Saint...hata mkibisha lkn mimi naamini hilo na nitaendelea kuamini hilo. Wewe cheka tu[emoji28] Click to expand... Sema ni vizuri wanawake mtuamini maana bila imani ni shida kwakweli
Demi said: Kama mama yangu ana declare hakuwahi kupata shida kwenye ndoa yake basi naamini hilo...my dad was a Saint...hata mkibisha lkn mimi naamini hilo na nitaendelea kuamini hilo. Wewe cheka tu[emoji28] Click to expand... Sema ni vizuri wanawake mtuamini maana bila imani ni shida kwakweli
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Sep 8, 2022 #62 Kunguru wa Manzese said: Sema ni vizuri wanawake mtuamini maana bila imani ni shida kwakweli Click to expand... Imani? Dini zenyewe zimetushinda...huwezi amini uongo wa waziwazi
Kunguru wa Manzese said: Sema ni vizuri wanawake mtuamini maana bila imani ni shida kwakweli Click to expand... Imani? Dini zenyewe zimetushinda...huwezi amini uongo wa waziwazi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 9, 2022 #63 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...