Man,Naunga mkono hoja, nakupenda kwasababu umenyooka kama rula
Wawasilishie wahuni wote zaidi wale wa zalendo feki wataifa hili kwani uzalendo kawaida huanzia ngazi ya familia.Hizi mentality za kijinga ndiyo zimekuwa anguko la ndoa nyingi za kwenye flash. Nawasilisha
Utelezi usioisha ndio tunataka realmamy. Unao??πBamtu unajua sana wewe π π ππ
Aloo! πUnabaki kuwa mjeshi π
Kivipi meku π π π πMan,
Kwa nini ulinichinjiq baharini mangii, nikajifanya kuwadi ukakaa kimya?
Acha bangi mangiiiiKivipi meku π π π π
Lakini kwenye bandiko lako ulitakiwa kuwa open and direct nini mwanaume anapata baada ya kufanya hayo yote kwa mwanamke wake.Umenielewa tofauti jamani π π π
Ukimdekeza nawe utadekezwa π
Bwashee bangi haina Shida kabisa nipo mbioni kufungua uzi wake Bwashee πAcha bangi mangiiii
Hivi kumbe realMamy ni mtoto wa kitanga..noma sana!!Lakini kwenye bandiko lako ulitakiwa kuwa open and direct nini mwanaume anapata baada ya kufanya hayo yote kwa mwanamke wake.
Ila natambua wewe mtoto wa kitanga sometimes mazingira ya pwani yamekushape hivyo.
Hakuna anaefanya Jema akalipwa baya πLakini kwenye bandiko lako ulitakiwa kuwa open and direct nini mwanaume anapata baada ya kufanya hayo yote kwa mwanamke wake.
Ila natambua wewe mtoto wa kitanga sometimes mazingira ya pwani yamekushape hivyo.
Naweza nisiwe na amri ila sijui kumdekeza π, hii imekaaje?Sema utakuwa unateseka mwenyewe na Amri zako π utakufa na Sonona